Kitulo FM

Recent posts

September 27, 2023, 7:51 am

Elimu ya Upimaji Ardhi yawakomboa Wananchi

Katika kuhakikisha Wananchi wanapata Hatimiliki za Ardhi,Serikali imechukua hatua za kupima na kugawa Hatimiliki bure kwa Wananchi Na Furahisha Nundu Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi umeendelea kufanyika ambapo Wananchi wa Kijiji cha Malanduku Wilayani Makete wameonesha njia bora ya kutatua…

September 25, 2023, 8:41 am

CCM Makete yafanya uchaguzi wa vijana chipukizi

katika kuwaandaa vijana wazalendo na viongozi wa baadaye chama cha Mapinduzi CCM Makete kimefanya uchaguzi wa viongozi wa vijana hao huku nafasi ya mweneyekiti ikichukuliwa na Michael Kened Chaula . na :Rose Njilile Jumuiya ya Vijana Makete mkoani Njombe kupitia…

September 22, 2023, 8:57 am

Fedha zachangwa msibani kutatua changamoto ya barabara Makete

Kutokana na ubovu wa miundombinu ya barabara katika kijiji cha Igolwa kilichopo wilaya ya Makete – Njombe wananchi wamelazimika kuchangisha fedha katika matukio mbalimbali ikiwemo misiba ili kujikwamua na changamoto hiyo. Na Aldo Sanga. Wananchi wa kijiji cha Igolwa wameomba…

September 21, 2023, 10:29 am

waliokata rufaa Tasafu kuhakikiwa upya

kupitia rufaa ya wanufaika wa mpango wa Tasaf wilaya ya Makete,timu ya wataalamu kutoka Halmashauri ya wilaya ya Makete wameanza zoezi la kuhakiki taarifa katika baadhi ya kata za wilaya ya Makete. na Aldo Sanga TASAF Wilaya ya Makete imeanza…

September 19, 2023, 9:21 pm

Wananchi Makete waishukuru serikali kutoa pembejeo kwa wakati

Kuelekea msimu wa kupanda mazao wananchi wameendelea kujitokeza katika vituo vya pembejeo kwa ajili ya kuchukua mbolea, ikiwa ni siku chache baada ya serikali kutangaza wakulima kuhakiki taarifa zao. Na Aldo Sanga. Wananchi wamejitokeza kwa wingi kwenye vituo vya pembejeo…

September 12, 2023, 12:22 pm

mbunge Festo Sanga akabidhi fedha shule ya msingi unenemwa

kutokana na uchakavu wa madarasa katika shule ya msingi unenamwa ilioko kata ya luwumbu mbunge wa jimbo la makete Mh Festo Sanga amekabidhi shilingi laki 5 na elfu sabii. na Lulu Samson MBUNGE wa jimbo la makete mh festo sanga…

Mission and Vision

Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo