Recent posts
October 10, 2023, 4:14 pm
Miti ya matunda yapandwa kupunguza udumavu wilayani Makete
Ikumbukwe kua Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka vipaumbele kwa mwaka 2023/2024 kusimamia utekelezaji wa mpango kabambe wa hifadhi na usimamizi wa mazingira na kuchukua hatua za kupunguza uharibifu wa mazingira na Aldo Sanga Katika kuunga mkono juhudi…
October 9, 2023, 4:47 pm
Makete kutumia shilingi bilioni nne miradi ya maendeleo
Kutokana na chanagamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa wilaya ya Makete hususani katika miundombinu ya sekta za elimu, afya, kilimo na ujenzi serikali imetoa fedha zaidi ya bilioni 4 kutatua changamoto hizo. Na Aldo Sanga Zaidi ya bilioni nne (Tsh. 4,489,684.61)…
October 7, 2023, 9:53 am
Wito watolewa kuwa na desturi ya kujiendeleza na elimu ya watu wazima
Elimu ya watu wazima imeelezwa kua mkombozi kwa watanzania hususani ambao hawakupata nafasi ya kuendele na masomo wakiwa katika mafumo rasmi wa Elim katika Shule za sekondari na Vyuo na Gift Kyando Afisa Elimu watu wazima mkoa wa Njombe Joseph…
October 7, 2023, 9:41 am
DC Samweli Sweda aagiza Fundi kuongeza Kasi ujenzi wa Bwalo
katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa wakati mkuu wa wilaya ya Makete Mh:Samweli Sweda ametembelea miradi inayotekelezwa katika maeneo yote ya Wilaya ya makete Huku akitoa maagizo kwa watendaji na mafundi kukamilisha miradi hiyo kwa wakati na Aldo Sanga…
October 7, 2023, 9:31 am
Wahitim 34 watunukiwa vyeti shule ya sekondari Kitulo
Kuelekea mtihani wa Taifa wa kumaliza elimu ya sekondari jumla ya wanafunzai 34 wametunukiwa vyeti vya kuhitimu elimu ya sekondari katika shule ya sekondari Kitulo iliyopo Makete Njombe na Aldo Sanga Jumla ya wanafunzi 34 wa metunukiwa cheti cha kuhitim…
October 5, 2023, 8:52 am
Serikali yatoa fedha ujenzi wa madarasa
Kutokana na upungufu wa vyumba vya madarasa katika shule ya sekondari Matamba serikali imetoa fedha shilingi milioni 700 kutatua changamoto hiyo, Na mwandishi wetu. Zaidi ya Shilingi Milioni 700 zimetolewa na Serikali kujenga madarasa, bweni na yoo katika shule ya…
October 5, 2023, 8:39 am
DC Sweda akasirishwa kituo cha afya kutofanya huduma za upasuaji
Kituo cha afya Lupila kwa muda mrefu sasa kimeshindwa kutoa huduma za upasuaji sababu zikiwa ni kukosekana kwa mtaalam wa upasuaji na kupelekea adha kubwa kwa wananchi wanaolazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya kilomita zaidi ya 50 hadi…
October 2, 2023, 8:53 am
Serikali yatoa fedha ukarabati wa hospitali ya wilaya Makete
Kupitia uchakavu wa Hospitali ya wilaya ya Makete serikali umetoa fedha zaidi ya shilingi milioni miatisa (900) kukarabati miundombinu ikiwemo Majengo Majengo makubwa matano (5) yamejengwa Hospitali ya Wilaya ya Makete kwa fedha za Serikali zaidi ya shilingi Milioni 900…
October 2, 2023, 8:32 am
Miundombinu shule ya sekondari ya wasichana Makete sasa shwari
Kupitia ongezeko la wanafunzi hususani kidato cha tano na cha sita serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa fedha kiasi cha shilingi bilioni 1 kujenga madarasa shule ya sekondari ya wasichana Makete. na Furahisha Nundu Kiasi cha shilingi bilioni…
September 29, 2023, 9:04 am
Fedha zatolewa na serikali ujenzi wa nyumba za walimu Makete
Ikiwa ni mwendelezo wa ujenzi wa shule ya Makete ilitopo katika kata ya Mlondwe wilayani Makete serkali imeendelea kutoa fedha kwaajili ya kukamilisha Ujenzi wa Miundombinu ya shule hiyo na Furahisha Nundu Kiasi cha shilingi milioniĀ 100 kimetolewa na serikali…