Recent posts
November 7, 2023, 2:19 pm
Jeshi la akiba Makete latakiwa kuimarisha ulinzi na usalama
Katika kudumisha uzalendo kwa wananchi wa Tanzania, vijana 99 wa kata ya Mfumbi wamefuzu mafunzo ya jeshi la akiba maarufu kama mgambo wilayani Makete mkoani Njombe lengo likiwa ni kuimarisha ulinzi na usalama kwa jamii. Na mwandishi wetu. Mkuu wa…
November 1, 2023, 1:19 pm
Mbunge Sanga akabidhi baiskeli kwa mlemavu Makete
baada ya wananchi wa kijiji cha kisinga kupaza sauti dhidi ya mlemavu Sinahabari mbunge wa jimbo la makete Festo Sanga kwa kushirikiana na wadau mbali mbali wamemkabidhi baiskeli yenye thamani ya shilingi milioni moja Na Ahazi Ndelwa. Mbunge wa jimbo…
November 1, 2023, 11:27 am
Dkt Mpango azindua mtambo wa kuzalisha umeme ijangala wenye kilowati 360
Hivi karibuni Makamu wa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mh Philipo Mpango alizindua mtambo wa kuzalisha umeme ijangala wenye kilowati 360 kutokana na umuhimu wa umeme katika shughuli mbali mbali na wengi wao kujiajiri kupitia umeme wadau mbali…
November 1, 2023, 11:02 am
Maambukizi ya virusi vya UKIMWI Njombe sasa yafikia asilimia 10.4
Moja ya njia mojawapo Ssrikali inaendelea kupambana ni kuhakikisha elimu inaendelea kutolewa kwa wananchi wake kuhakikisha wanajikinga na kuwalinda wengine dhidi ya maambuki ya ukimwi. Na Rose Njinile. Kutokana na maambukizi ya virusi vya ukimwi kuendelea mpaka kufikia asilimia 10.4…
October 28, 2023, 3:52 pm
Askofu Shoo awataka waumini Makete kuungana ujenzi wa kanisa
Askofu mkuu wa wa kanisa la kilutheri Tanzania Fredrick Shoo pamoja na askofu mkuu wa dayosisi ya kusini ya kati wilson sanga kwenye uwekaji wa jiwe la msingi.picha na Rose njinile Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, unaweza kusema hivyo…
October 28, 2023, 10:08 am
Kiwanda cha mipira ya kuvaa mikononi (gloves) chazinduliwa rasmi mkoani Njombe
katika kurahisisha upatikanaji wa mipira ya kuvaa mikononi (groves) mkoa wa njombe umekua mstari wa mbele katika kukuza sekta ya afya kwa kuanza na ujenzi wa kiwanda hicho kilichopo katika Halmashauri ya Mji wa Makambako Na mwandishi wetu. Makamu wa…
October 22, 2023, 12:35 pm
Wananchi waaswa kuendelea kutunza miradi ya maendeleo
Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis na viongozi wa halmashauri katika mradi wa shamba la kilimo cha ngano ugabwa.picha na ombeni mgongolwa Kutokana na fedha kutolewa kwaajili ya kuendeleza miradi…
October 18, 2023, 12:56 am
Shule ya sekondari Lupila wilayani Makete yakabidhiwa vitabu
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na mdau wa maendeleo wilaya ya Makete Ndg. Antony Sanga amekabidhi vitabu vya kiada vyenye thamani ya shilingi milioni saba laki tisa na elfu themanini shule ya sekondari Lupila wilayani…
October 18, 2023, 12:46 am
Mchungaji wa kwanza Makete atunukiwa shahada ya juu ya heshima
Chuo Kikuu cha Iringa kimemtunuku Shahada ya Juu ya Heshima Hayati Mchungaji Dkt. Tupevilwe Lugano Sanga. Mchungaji Tupevilwe Lugavano Sanga aliyezaliwa 1898, ni Mchungaji wa mwanzoni kabisa katika jamii ya Wakinga aliyetoa maisha yake kumtumikia Mungu pamoja na kuhamasisha maendeleo…
October 17, 2023, 1:16 pm
Wananchi watakiwa kuwa makini na matangazo ya biashara ya dawa, vifaa tiba
Kutokana na wafanyabiashara kutumia matangazo kufanya bidhaa yake ijulikane na kushawishi watumiaji kutumia bidhaa hiyo TMDA inahakikisha matangazo hayo yanayohusiana na dawa, vifaa tiba na vitendanishi hayana taarifa za upotoshaji. Na Rose Njinile Wito umetolewa kwa wananchi wilayani Makete mkoani…