Kitulo FM

Recent posts

January 30, 2024, 9:26 pm

Dc Juma Sweda Ametembelea kaya zilizoezuliwa na upepo Ipelele Makete

Tayari takribani nyumba saba zimeshajengwa ikiwa ni hatua za kunusuru kaya zilizokosa makazi baad ya mvua na upepo mkali kuezua nyumba siku za hivi karibuni katika maeneo kadha katika wilaya ya Makete ambapo serkali wadau na wananchi wamechangia nguvu zao…

January 25, 2024, 8:28 am

Milioni 622 kufidia ujenzi wa barabara Makete

Ikiwa tayari ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika eneo la ujuni umeshaanza kwa zaidi ya kilometa 3 serikali imeendelea kutoa fedha ili kukamilisha ujenzi wa barabara hiyo kutoka Makete ,kupitia Nkenja kwenda Mbeya Na Aldo Sanga Waziri wa…

January 22, 2024, 8:36 pm

Zaidi ya miti 2,000 yapandwa Makete kutunza, kuhifadhi mazingira

katika kuendeleza juhudi za utunzaji wa mazingira Halmashauri ya Wilaya ya Makete kupitia Idara ya Mazingira imeendelea kutoa elimu kwa jamii ikiwa nipamoja na kupanda miti zaidi ya Elufu mbili (2000) katika kata ya Tandala na Aldo Sanga Zoezi la…

January 22, 2024, 8:04 pm

Waziri Bashungwa aagiza kasi zaidi ujenzi barabara ya Makete-Mbeya

Waziri Bashungwa amefanya ziara katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Mbeya- Makete kwa kiwango cha lami huku akitoa maelekezo kwa mkandarasi kuongeza kasi ya ujenzi ikiwa nipamoja na kuongeza mitambo ili kuendana na mkataba wamradi huo Na Aldo Sanga…

January 21, 2024, 9:53 pm

Makete washiriki misa ya shukrani mapokezi ya askofu Eusebius Kyando

Ikiwa nisiku chache tangu Askofu Eusebius aingizwe kazini katika jimbo la Njombe mapema hii leo amefanya ziara yake ya kwanza katika parokia ya Makete ibada iliyohudhuriwa na mamia ya wanamakete wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama na serikali. Na Mwandishi wetu…

January 20, 2024, 9:01 pm

Zaidi ya kaya 20 zaathiriwa na upepo mkali Makete

Ikiwa mamlaka za utabiri wa hali ya hewa nchini zinazidi kutoa tahadhari juu ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini, baadhi ya maeneo katika mikoa na wilaya kumetokea athari mbalimbali ikiwa ni pamoja na vifo vya binadamu pamoja na uharibifu wa miundombinu.…

January 19, 2024, 6:30 pm

DC Sweda aahidi laki tano matengenezo barabara Kinyika-Mlondwe

na mwandishi wetu. Imeelezwa kuwa barabara ni moja ya njia inayowasaidia wanananchi kuweza kujikwamua kiuchumi. mkuu wa wilaya makete mh juma sweda ametembela barabara  ya kinyika- mlondwe na kuona changamoto inayowakumba wanachi wa maeneo hayo  na kuahidi  kutoa kiasi cha…

January 19, 2024, 5:56 pm

DC Sweda ampa kongole Rais Samia kwa miradi Makete

na mwandishi wetu kutokana na fedha nyngi kutolewa na serikali viongozi mbali mbali na wananchi wahimizwa kutunza miradi hiyo Mkuu  wa wilaya ya  makete mh Juma Sweda amemshukuru Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mh Samia Suluh Hassani kwa…

Mission and Vision

Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo