Kitulo FM

Recent posts

July 26, 2023, 9:20 pm

Elimu ya msaada wa kisheria yawafikia elfu 69 Makete

Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la kutoa msaada wa kisheria wilayani Makete Mch. Denis Sinene amesema jumla ya wananchi elfu 69 wamefikiwa na elimu ya msaada wa kisheria wilayani Makete. Mch. Sinene amesema hayo wakati wa kusoma taarifa ya…

July 5, 2023, 7:16 am

Mbarali wamlilia Mtega

Wananchi wa mbarali, Spika wa Bunge na Mbunge Jimbo la Makete wakiwa Ibadani kumuaga Marehemu Francis

July 5, 2023, 7:11 am

Chatanda: Changamoto ya barabara Kigala-Makete nitaifikisha kwa waziri

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Taifa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) UWT Marry Chatanda amesema kilio cha mbunge na wananchi wa Kigala kuhusu barabara atakifikisha kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Chatanda amesema hayo akiwa na wananchi wa Kigala kwenye…

Mission and Vision

Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo