Kitulo FM
Kitulo FM
March 1, 2024, 7:22 am
katika kutekeleza miradi ya umeme vijijini,wananchi wa kijiji cha Igolwa kilichopo katika kata ya Ipepo waipongeza Serkali kwa kuwafikishia Umeme,huku wakiomba Serkali kutatua changamoto ya Barabara. Wananchi wa kijiji cha Igolwa Kata ya Ipepo Wilayani Makete wameipongeza Serikali na Viongozi…
February 15, 2024, 7:34 pm
Ubovu wa barabara Makete umepelekea kupotea kwa mapato hali iliyomfanya mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete Mh. Christopher Fungo kuagiza mamlaka husika kuchukua hatua za maksudi ili kunusuru kupotea kwa mapato . Na Ombeni Mgongolwa Baraza la Madiwani la…
February 13, 2024, 8:06 am
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Makete William Makufwe Amewataka wadau wa Elimu ikiwemo walimu maafisa elimu kusimamia kikamilifu taaluma katika wilaya ya Makete ili kuinua kiwango cha taaluma Makete. Na Lulu Mbwaga Mkurugenzi Mtendaji halmashaur ya Wilaya Makete Ndg…
February 8, 2024, 5:28 pm
Kata ya Mfumbi ni miongoni mwa kata ambazo zimepewa mradi wa ujenzi wa kituo cha afya ikiwa ni mpango wa halmashauri ya wilaya ya Makete kujenga vituo vya afya ktika kata zote ambazo hazina vituo vya afya pamoja na kuboresha…
February 7, 2024, 5:36 pm
Kiasi cha fedha milion miatatu (300,000,000) zitatumika kukamilisha ujenzi wa vyumba 12 vya madarasa na matundu 20 ya vyoo ikiwa nikuendeleza juuhudi za wananchi katika kutika kuleta maendeleo kwa jamii hususani katika sekta ya elimu. Na Lulu Mbwaga Ujenzi wa…
February 6, 2024, 9:24 pm
Ikiwa ni muda mrefu umepita tangu kuanza kutekelezwa kwa Mradi wa Maji katika kata ya Isaplano Mkuu wa wilaya ya Makete Mh.Juma Samweli Sweda ameagiza Mamlaka ya Maji safi na Mazingira kuhakikisha mradi huo unakamailika kwa wakati Na Ombeni Mgongolwa…
February 1, 2024, 6:31 pm
Imeelezwa kuwa elimu ni nguzo pekee ya wananchi kuweza kutambua sheria ili kufahamu haki na wajibu wao pindi ambapo wanapokuwa na changamoto mbali mbali pamoja na kutoa ushirikiano na vyombo husika katika kufanikisha haki inatendeka pindi ambapo uharifu unapojitokeza Na…
January 31, 2024, 5:11 pm
Kutokana na wananchi kuhamasika katika kilimo cha kibiashara hususani katika zao la viazi Dc Sweda ametoa tahadhari kwa wakulima wa Makete kulima mazao mchanganyiko ili kukabili baa la njaa baada ya wananchi kujikita zaidi katika zao la viazi pekee. na…
January 30, 2024, 9:55 pm
Kutokana na upotevu wa mapato Ded Makufwe amewataka Watendaji hususani katika maeneo yote yenye mageti kuahkikisha wanasimamia kikamilifu kudhibiti mianya yote ya utoroshaji wa mapato ambayo ndio uti wamgongo wa Halmashauri ya Makete na Mwandishi wetu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya…
Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo