Kitulo FM
Kitulo FM
January 3, 2023, 8:01 pm
Wananchi wa Kata ya Iniho Wilaya ya Makete wameshiriki katika kazi ya kusogeza tofali kwa ajili ya ukamilishaji ujenzi Bwalo la Shule ya Sekondari Mwakavuta baada ya changamoto ya barabara na magari ya mizigo kushindwa kufikisha vifaa eneo la…
December 30, 2022, 8:08 pm
Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Antoni Sanga amesema Serikali imetoa fedha Milioni 200 kukabiliana na uhaba wa Maji kijiji cha Tandala Kata ya Tandala Wilayani Makete. Mhandisi Sanga leo amefika Tandala na kukutana na viongozi wa Kijiji ambapo…
December 30, 2022, 8:22 am
Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amewataka wazazi kuacha tabia ya kutowapeleka wanafunzi shule na kuwatorosha kwenda mijini kufanya biashara huku wakijua wanawanyima watoto haki ya Msingi ya kupata elimu. Mhe. Sweda amesema mzazi/mlezi ambaye hatompeleka mwanafunzi…
December 30, 2022, 6:54 am
Chama cha Waandishi wa Habari mkoa wa Njombe, Njombe press club NPC kimefanya mkutano mkuu mkoa humo huku agenda kuu za mkutano huo mkuu ikiwa ni Marekebisho ya katiba pamoja na kubariki uongozi wa muda ulio kuwa umechaguliwa kuendelea…
December 30, 2022, 6:39 am
Bibi anayekadiriwa kuwa na miaka zaidi ya 80 afariki kwa kusombwa na Maji kijiji cha Lupalilo Wilaya ya Makete akijaribu kuvuka mto juu ya daraja dogo katika mto Idetele unaotenganisha Kijiji cha Lupalilo na Ilevelo. Baadhi ya wanandugu wamesema…
December 29, 2022, 7:54 am
Serikali imeanza ujenzi wa Daraja la Zege litakalounganisha Kijiji cha Ipelele na Makwaranga Kata ya Ipelele Wilaya ya Makete lenye thamani ya zaidi ya Milioni 170. Daraja hilo litawafanya wananchi wa vijiji hivyo kutumia barabara ya Ipelele-Makwaranga yenye urefu wa…
December 29, 2022, 7:45 am
Barabara ya Makete-Mbeya kufunguka kwa lami Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema Serikali itaendelea na ujenzi wa barabara za lami katika mikoa ya nyanda za juu kusini ili kuunganisha vema ukanda huo na bandari ya Mtwara na hivyo kurahisisha shughuli za…
December 11, 2022, 8:27 am
Mhandisi Sanga akiwa Kijiji cha Ng’onde Kata ya Mlondwe Mhandisi Sanga akiwa Kijiji cha Ng’onde Kata ya Mlondwe Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Anthony Sanga amewatoa hofu wananchi wa Mlondwe baada ya kuwepo taarifa za mtu kuweka sumu kwenye…
December 9, 2022, 3:00 pm
Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amesema maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanganyika ni msingi wa uhuru uliopatikana mara baada ya kutoka kwenye machungu makubwa ya utawala wa wakoloni ambao Taifa lilipitia. Ameyasema hayo leo akiwa…
December 5, 2022, 2:19 pm
Wazee maarufu Wilaya ya Makete wameishukuru Serikali kwa kuwajali katika huduma za kiafya na shughuli mbalimbali za kimaendeleo tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1961. Wakizungumza na Kitulo FM Disemba 5, 2022 katika mdahalo ulioandaliwa na Kituo hiki ukiwahusisha wazee…
Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo