Boma Hai FM
Boma Hai FM
22 January 2026, 6:26 pm
Bodi ya Maji Uroki Bomang’ombe wametumia fedha za mapato yao ya ndani ili kutatua changamoto ya maji kwa wananchi wa wilaya ya Hai, mkuu wa wilaya ya Hai na Viongozi wengine wamepongeza juhudi hizo za kutatua adha ya maji kwa…
22 January 2026, 5:56 pm
Diwani wa kata ya Masama Kusini akerwa na ubovu wa jiko la kupikia chakula cha wanafunzi katika shule ya Msingi Nkwamakuu, ameahidi kuvunja na kujenga jiko jingine. Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro Wananchi wa kitongoji cha Nkwamakuu kata ya masama kusini…
20 January 2026, 12:13 pm
DC Bomboko ametembelea miradi mbali mbali inayoendelea kutekelezwa Wilaya ya Hai akiwa na viongozi wa dini, makundi ya kijamii ikiwemo wamachinga, Baraza la Wazee, maofisa wasafirishaji pamoja na viongozi wa Halmashauri, kwa lengo la kujionea utekelezaji wa miradi mbalimbali ya…
19 January 2026, 1:25 pm
Baada ya wananchi wa kijiji cha Nronga kupitia changamoto ya muda mrefu ya ubovu wa miundombinu ya barabara kwa sasa hawana changamoto tena baada ya barabara ya Kalali – Nronga kujengwa kwa kiwango cha zege na kuzinduliwa rasmi na Diwani…
18 January 2026, 8:11 am
Pichani ni madarasa ya shule ya sekondari Mondo Memusi iliyopo wilayani Siha mkoani Kilimanjaro.(picha na Bahati Chume) Ujenzi wa shule mpya ya Sekondari ya Mondo Memusi katika kijiji cha Donyomurwak wilayani Siha umeondoa changamoto ya umbali kwa wanafunzi wa jamii…
17 January 2026, 8:11 am
Malalamiko ya wananchi wilaya ya Hai yanaendelea kupungua, hali inayotajwa kuchangiwa na juhudi za uongozi wa wilaya hiyo kusikiliza na kutatua kero moja kwa moja kwa wananchi. Na Oliva Joel Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Hassan Omary Bomboko,…
1 December 2025, 3:30 pm
Mkuu wa Wilaya ya Siha Dkt Christopher Timbuka, amewataka watumishi wa Halmashauri kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji mpya Hellen Mwembeta, ili kufanikisha jitihada za Serikali za kuwaletea maendeleo wananchi wa wilaya hiyo. Na Bahati Chume Siha-Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Siha,…
1 December 2025, 2:58 pm
Edmund Rutaraka amethibitisha nguvu zake wilayani Hai baada ya kushinda kwa kishindo uchaguzi wa ndani wa CCM, akipata kura 15 kati ya 23 na kurejeshwa rasmi kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai. Na Elizabeth Mafie na…
1 December 2025, 1:26 pm
Jamii yaaswa kuachana na mitazamo hasi dhidi ya watoto wenye mahitaji maalumu. Na Elizabeth Mafie Hai -Kilimanjaro Jamii imetakiwa kuondoa mitazamo hasi ya kuwaficha watoto wenye mahitaji maalumu, kwani watoto hao wana uwezo wa kujitegemea na kusimama wenyewe iwapo watapata…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha