Boma Hai FM
Boma Hai FM
11 September 2025, 6:05 pm
Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi anatarajiwa kuhutubia wananchi wa Hai, Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Hai Muhamed Msalu ameomba wananchi kujitokeza kwa wingi. Na Elizabeth Noel & Henry keto, Hai-Kilimanjaro Wananchi wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wameombwa kujitokeza kwa…
20 August 2025, 10:52 am
Na Henry Keto, Hai Kilimanjaro Wawekezaji wilaya ya Hai wametakiwa kulinda rasimali zilizopo katika maeneo wanayowekeza pamoja na kutunza mazingira kwa Kupanda miti yakutosha ili kuendelea kulinda uoto wa asili na hali ya hewa .Hayo yamesemwa na Katibu Tawala wilaya…
6 August 2025, 7:01 pm
Na Salma Rahim-Arusha Wakulima na wafugaji kanda ya kaskazini kwenye mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro wameaswa kutumia Kilimo cha kisasa chenye tija kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya na Kilimo ili kuongeza uzalishaji wa mazo na Mifugo. Hayo…
1 August 2025, 6:25 pm
Wananchi wa Kijiji cha Kware kilichopo kata ya Masama Kusini wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wameaswa kuachana na matendo kinyume na maadili na uvunjifu wa amani unaosababisha watu kukosa usalama wao na mali zao,pamoja na kuacha matumizi ya madawa ya…
29 July 2025, 2:11 pm
Watumishi wa umma katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai wameishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuwaongezea mishahara kutokana na ahadi aliyoitoa siku ya Mei mosi 2025 mkoani Singida. Na Henry Keto,…
24 July 2025, 3:46 pm
Wanawake wanne wajawazito wamepatiwa msaada wa matibabu pamoja na zawadi baada ya kujifungua kutokana na ahadi iliyotolewa na mkuu wa polisi jamii wilaya ya Hai ASP Elishafra S. K wakati wa sherehe za jeshi la polisi wilaya ya Hai Na…
24 July 2025, 3:35 pm
“Lengo la msingi ndugu zetu wa Kenya na Tanzania wameweza kuangalia ni wapi maji yanakotoka, wapi yanatakiwa yasafiri na watumiaji ni wapi. Safari hii itakuwa ya siku tatu na katika siku hizo watu watakuwa na nafasi ya kujifunza, kuangalia vyanzo…
22 July 2025, 8:40 pm
“Mhe mkuu wa wilaya kila mwaka chama kinatekeleza msingi wa saba wa ushirika kwa kuendelea kuijali jamii,na mwaka huu Mh mkuu wa wilaya tumetembelea shule hii ya msingi Ngare Mji na tunatoa madawati ambayo thamani yake ni shilingi milioni 4…
21 July 2025, 6:54 pm
Kupitia mradi wa BOOST shule mbalimbali za msingi katika wilaya ya Hai zinategemea kunufaika katika ujenzi. Na Elizabeth Noel Hai-Kilimanjaro Wananchi wa Kata za Masama Rundugai na Machame Mashariki wametakiwa kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa miradi ya BOOST iliyotambulishwa na…
20 July 2025, 9:34 am
Chama cha akiba na mikopo Hai Rural Teachers Saccos (HRT) kimefanya Bonanza la aina yake katika viwanja vya Taasisi ya Charllote katika kuelekea miaka 25 tangu kuanzishwa kwake. Na Elizabeth Noel Siha-Kilimanjaro Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 25 tangu kuanzishwa…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha