Boma Hai FM
Boma Hai FM
19 July 2025, 9:01 am
Katika kuendelea kumtukuza Mungu kupitia muziki wa injili mkurugenzi wa tuzo za East Africa Gospel Music Awards apandisha tuzo hiyo kilele cha mlima Kilimanjaro. Na Elizabeth Noel. Moshi -Kilimanjaro Tuzo ya Afrika Mashariki ya Muziki wa injili ( East Africa…
18 July 2025, 9:09 am
“Mtoto huyo alikuwa akiishi na bibi yake na kusoma darasa la kwanza mara nyingi akirudi nyumbani anakuwa peke yake kwa kuwa bibi yake anakuwa katika shughuli za kujitafutia riziki hivyo mshitakiwa kwa kuwa walikuwa majirani, alitumia nafasi hiyo kutenda unyama…
18 July 2025, 8:10 am
Lengo letu ni kuhakikisha wafugaji wanapata elimu sahihi na vifaa muhimu kama chanjo ili waweze kufuga kwa tija hii itasaidia kuongeza pato la taifa na la mtu mmoja mmoja”amesema Lekei. Na Oliva Joel Hai-Kilimanjaro Zaidi ya kuku 300 wamechanjwa katika…
1 July 2025, 8:34 pm
Mikopo ya Shilingi milioni 220 imetolewa kwenye vikundi 31 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, zaidi ya Bilioni moja milioni mia tisa sitini na nane zimetolewa wilayani hai kwa kipindi cha miaka minne. Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro Mkuu wa…
20 June 2025, 10:42 pm
Pichani ni mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Elinikyo Mafuwe akizindua shule ya msingi Muungano(picha na Salma Sefu) Mbunge wa jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe, ameweka jiwe la msingi katika shule mbili mpya ,Shule ya Msingi Muungano na Shule ya…
11 June 2025, 10:37 am
Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yamefanya mkutano wa pamoja katika kuweka mikakati yakufanya kazi kwa pamoja na kubainisha changamoto zao kwenye uongozi wa wilaya ya Hai Na Henry Keto. Hai-Kilimanjaro Mashirika yasiyo ya kiserikali yametakiwa kukaa pamoja kuweka mikakati yakufanya…
10 June 2025, 9:48 pm
Mbunge wa Jimbo la Hai Saashisha Mafuwe ameuliza swali bungeni kuhusu lini serikali itachukua hatua ya ukarabati wa barabara ya Rundugai-Simanjiro inayounganisha wilaya ya Hai na Simanjiro Na Henry Keto.Hai-Kilimanjaro Mbunge wa Jimbo la Hai, Mheshimiwa Saashisha Mafue, ameonyesha wasiwasi…
10 June 2025, 9:08 pm
Ufunguzi wa mafunzo ya Jeshi la akiba katika kijiji cha Kware kata ya Masama Kusini wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Na James Gasindi. Hai-Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Hai, Haasan Bomboko, amewataka vijana waliojiunga na mafunzo ya Jeshi la Akiba…
9 June 2025, 12:51 pm
Chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Hai kimempokea mwenezi wa chama hicho CPA Amosi Makala katika ziara yake kwenye mikoa ya Kaskazini na kuzungumza na wananchi wa wilaya ya Hai. Na Oliver Joel, Hai-Kilimanjaro Katibu mkuu mwenezi wa CCM Taifa…
6 June 2025, 12:30 am
Maadhimisho ya kilele cha wiki ya Mazingira Duniani ambayo kwa mkoa wa kilimanjaro yamefanyika wilaya ya Hai Na Henry Keto,Hai-Kilimanjaro Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu ametoa wito kwa Wananchi kupanda miti na kuitunza na kuhakikisha mazingira yanakuwa…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha