Boma Hai FM

Recent posts

24 May 2025, 5:22 pm

Milioni 300 zatolewa kwa vikundi 46 Siha

” Kama mnavyofahamu wilaya hii ipo kwenye wilaya kumi za majaribio katika utoaji mikopo,niwajibu wetu kufanya vizuri ili na wengine wa wilaya zingine waweze kuiga “ Na Elizabeth Mafie -Siha Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro Dkt Christopher Timbuka amevitaka…

22 May 2025, 11:32 pm

DC Hai ajibu swali la wafanyabiashara Bomang’ombe

Mkuu wa Wilaya ya Hai Hassan Bomboko amefanya mkutano na wafanyabiashara wa wilaya ya Hai baada ya wafanyabiashara hao kukiuka mikataba ya vibanda walivyokodishiwa na Halamsahauri kwa kuongeza kenop. Na Eliya Sabai Mkuu wa Wilaya ya Hai Mh. Hassan Bomboko…

21 May 2025, 12:50 pm

Bomang’ombe wamtwisha zigo la mbwa DC Bomboko

Katika kuhakikisha kila Mtanzania anaishi maisha bora na kupata huduma zote za kijamii, Mkuu wa Wilaya ya Hai Hassan Bomboko amefanya mkutano wa hadhara na kusikiliza kero zinazowakabili wananchi. Na Eliya Sabai –Hai Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya Hai Mh Hassan…

20 May 2025, 10:10 am

CCM yaibomoa CHADEMA Kingereka

Mapokezi ya mwenyekiti wa mtaa wa Kingereka aliyechaguliwa kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kuhama chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Na Henry keto, Hai-Kilimanjaro Mwenyekiti wa mtaa wa Kingereka A Dastan kimaro…

18 May 2025, 10:38 am

Wahitimu VETA watakiwa kuleta mabadiliko kwa jamii

Mkuu wa wilaya ya Moshi Mkoani kilimanjaro Godfrey Mzanva akihutubia wakati wa mahafali ya 40 ya chuo cha VETA Mkoani Kilimanjaro (Picha na Furaha Hamad) Mkuu wa wilaya ya Moshi Godfrey Mzanva ameshiriki mahafali ya 40 ya chuo cha VETA…

16 May 2025, 12:50 pm

CRDB yakabidhi darasa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum

Crdb bank wilayani Hai mkoani Kilimanjaro yajenga darasa moja la wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule ya Msingi Uswaa lenye thamani ya Shilingi Millioni 25 ,hafla ya makabidhiano yafanyika. Na Henry keto .Hai-Kilimanjaro Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Nurdin Babu…

12 May 2025, 11:55 am

Shule ya msingi Kware yapokea madawati mia moja

Halmashauri ya wilaya ya Hai imetoa madawati mia moja kwa ajili ya shule ya msingi Kware yenye thamani ya shilingi milioni kumi. Na Henry Keto. Hai -Kilimanjaro Afisa mtendaji wa Kijiji cha Kware Edwin Lamtey ametoa wito kwa jamii, waalimu,…

27 April 2025, 8:51 pm

Bodi ya maji yarudisha kwa jamii, Saashisha apongeza

Katika kuendelea kuchochea maendeleo hapa nchini Bodi ya maji Uroki Bomang’ombe yajenga matundu nane ya choo katika shule ya msingi Kiselu. Na Gasper Mushi. Hai-Kilimajaro  Mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe ameipongeza bodi ya maji Uroki Bomang’ombe kwa kutoa…

22 April 2025, 11:46 am

Samia Legal Aid kuondoa migogoro ya ardhi Rombo

Mkuu wa wilaya ya Rombo Raymond Mwangwala akizungumza na waandishi wa habari. Kutokana na wilaya ya Rombo kuwa na migogoro mingi itokanayo na ardhi kampeni ya  msaada wa kisheria ya Samia Legal Aid imetajwa kutatua changamoto hiyo. Na Elizabeth Mafie…

Dira na Dhamira

DIRA

Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja

DHAMIRA

Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha