Boma Hai FM

Recent posts

5 February 2026, 3:00 pm

Romu, Masama Kusini kuondokana na adha ya maji ya umwagiliaji

Wananchi wa kata ya Masama Kusini na kata ya Romu wameiomba serikali ya kata kutatua changamoto za maji ya umwahiliaji iliyodumu kwa muda mrefu. Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro Wananchi wa Kata za Romu na Masama Kusini wilaya ya Hai mkoa…

5 February 2026, 1:21 pm

Diwani Trael, Machame Kaskazini waadhimisha miaka 49 ya CCM

Katika kuadhimisha miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wananchi,wanachama pamoja na Diwani wa Kata ya Machame Kaskazini wameadhimisha siku hiyo kwa kupanda miti pamoja na kutembelea wagonjwa kituo cha afya Kisiki. Na Bahati Chume Hai -Kilimanjaro Wananchi wa Kata…

4 February 2026, 2:14 pm

Wiki ya sheria yatoa wito wa ushirikiano kwa mahakama

Wananchi wilaya ya Hai wamehimizwa kushirikiana na Mahakama kwa kufuata sheria na taratibu, jambo litakalosaidia kuhakikisha haki, usawa, amani na maendeleo ya jamii,Maadhimisho ya wiki ya sheria yameangazia umuhimu wa mahakama kama muhimili huru wa dola unaotoa haki kwa usawa,…

2 February 2026, 6:59 pm

Diwani alipia matibabu kuadhimisha miaka 49 ya CCM Hai

Katika kuadhimisha miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi, kata ya Masama Kati imepanda miti katika kituo cha Afya Masama kati pamoja na kutembelea jengo la wamama wajawazito na kuwalipia gharama za matibabu. Na Oliver Joel, Hai-Kilimanjaro Katika kuadhimisha miaka 49…

2 February 2026, 4:58 pm

‘Maendeleo ya kijiji yanaletwa na wananchi wenyewe’ – Edwine L…

Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro Wananchi wa kijiji cha kwasadala kata ya Masama Kusini, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimajaro wamejitokeza kwa wingi kusikiliza bajeti ya mapato na matumizi ya kijiji pamoja na kujadili maendeleo ya kijiji chao. Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro…

2 February 2026, 12:16 pm

Wananchi, wanafunzi wapatiwe elimu ya lishe bora-DC Bomboko

Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Hai imefanya kikao cha robo kwaajili yakutathmini hali ya lishe na upatikanaji wake katika kata kumi na saba za wilaya ya Hai zikihusisha wataalamu wa lishe pamoja na maafisa watendaji wa kata. Na Henry…

30 January 2026, 1:15 pm

Makubaliano ya wazazi kuimarisha taaluma Hai Day Sekondari

Shule ya Sekondari Hai Day ni miongoni mwa shule za serikali zinazofanya vizuri kitaaluma kutokana na makubaliano ya wazazi kushiriki mchango wa chakula, kufuatilia kwa karibu maendeleo ya wanafunzi, kudhibiti utoro ,kushirikiana na walimu katika kuboresha mazingira ya kujifunzia ili…

27 January 2026, 4:43 pm

Wananchi watakiwa kutunza mazingira kwa kupanda miti

Machame Magharibi wameadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupanda miti pembezoni mwa Barabara kata ya Machame Magharibi Na Vivian Kweka, Hai-Kilimanjaro Diwani wa kata ya Machame Magharibi  Martin Munisi amewataka wananchi kuacha kukata…

26 January 2026, 2:36 pm

Rutaraka asisitiza madiwani uwajibikaji na usimamizi wa miradi

Madiwani wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamehimizwa kusimamia kwa karibu shughuli za serikali za mitaa ili kuhakikisha uwajibikaji na matumizi sahihi ya rasilimali za umma ,Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai, Edmund Rutaraka, wakati…

25 January 2026, 8:49 am

Madiwani Hai wanolewa maadili na sheria

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai wamepewa mafunzo maalum ya siku mbili yaliyolenga kuwajengea uwezo katika utendaji kazi, hususan kuzingatia sheria, maadili ya uongozi na uwajibikaji. Mafunzo hayo yaliyofanyika Januari 23, 2026 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya…

Dira na Dhamira

DIRA

Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja

DHAMIRA

Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha