Boma Hai FM
Boma Hai FM
26 February 2026, 1:20 pm
Baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limepitisha bajeti ya zaidi ya shilingi bilioni hamsini na mbili kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Na Elizabeth Mafie Hai – Kilimanjaro Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Hai mkoa wa…
12 February 2026, 5:19 pm
Katika kuwapa motisha wanafunzi wa shule ya sekondari Lemira iliyopo wilayani Hai ,Mkoani Kilimanjaro wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani ya kidato cha nne mwaka 2025 wapewa zawadi. Na Oliva Joel Hai- Kilimanjaro Wazazi na walezi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa…
12 February 2026, 4:06 pm
Kutokana na baadhi ya jamii kutowajali, kuwathamini watu wenye mahitaji maalumu taasisi ya New Life Foundation kwa kushirikiana na Tim Tebow Foundation imekusudia kurejesha tabasamu kwa kuwakutanisha kupitia sherehe maalumu. Na Elizabeth Mafie Jamii imetakiwa kuendelea kuwapa kipaumbele watu wenye…
5 February 2026, 3:22 pm
Viongozi katika ngazi mbalimbali wameendelea kuhamasisha uhifadhi na utunzaji wa mazingira kwa kushiriana na wananchi kwa kupanda miti sehemu mbalimbali. Na Oliva Joel Hai-Kilimanjaro Wananchi wa kata ya Romu wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wamehimizwa kupanda miti katika maeneo…
5 February 2026, 3:00 pm
Wananchi wa kata ya Masama Kusini na kata ya Romu wameiomba serikali ya kata kutatua changamoto za maji ya umwahiliaji iliyodumu kwa muda mrefu. Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro Wananchi wa Kata za Romu na Masama Kusini wilaya ya Hai mkoa…
5 February 2026, 1:21 pm
Katika kuadhimisha miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wananchi,wanachama pamoja na Diwani wa Kata ya Machame Kaskazini wameadhimisha siku hiyo kwa kupanda miti pamoja na kutembelea wagonjwa kituo cha afya Kisiki. Na Bahati Chume Hai -Kilimanjaro Wananchi wa Kata…
4 February 2026, 2:14 pm
Wananchi wilaya ya Hai wamehimizwa kushirikiana na Mahakama kwa kufuata sheria na taratibu, jambo litakalosaidia kuhakikisha haki, usawa, amani na maendeleo ya jamii,Maadhimisho ya wiki ya sheria yameangazia umuhimu wa mahakama kama muhimili huru wa dola unaotoa haki kwa usawa,…
2 February 2026, 6:59 pm
Katika kuadhimisha miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi, kata ya Masama Kati imepanda miti katika kituo cha Afya Masama kati pamoja na kutembelea jengo la wamama wajawazito na kuwalipia gharama za matibabu. Na Oliver Joel, Hai-Kilimanjaro Katika kuadhimisha miaka 49…
2 February 2026, 4:58 pm
Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro Wananchi wa kijiji cha kwasadala kata ya Masama Kusini, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimajaro wamejitokeza kwa wingi kusikiliza bajeti ya mapato na matumizi ya kijiji pamoja na kujadili maendeleo ya kijiji chao. Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro…
2 February 2026, 12:16 pm
Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Hai imefanya kikao cha robo kwaajili yakutathmini hali ya lishe na upatikanaji wake katika kata kumi na saba za wilaya ya Hai zikihusisha wataalamu wa lishe pamoja na maafisa watendaji wa kata. Na Henry…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha