Boma Hai FM
Boma Hai FM
4 September 2026, 7:00 pm
Jamii imetakiwa kuongeza ushirikiano na wadau wa elimu ili kuwafikia watu wazima ambao hawakupata fursa ya kusoma katika mfumo rasmi, huku elimu hiyo ikilenga kuwajengea ujuzi na maarifa ya kujikwamua kiuchumi na kuboresha maisha yao Na Vaileth Silvester Hai –…
4 September 2026, 12:41 am
Mkuu wa wilaya ya Hai pamoja na wataalamu wa wilaya ya Hai wamekagua ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa ndani ya wilaya na kuridhishwa na ujenzi, akitoa wito kukamilisha miaradi kwa wakati na ubora. Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro Mkuu wa…
3 September 2026, 1:57 pm
Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro imepongeza namna Halmashauri ya Wilaya ya Hai inavyosimamia ukusanyaji wa mapato na miradi ya maendeleo, huku ikieleza kuwa matumizi ya mfumo wa mawakala yanaweza kusaidia kuongeza mapato na kuboresha utoaji wa huduma kwa…
3 September 2026, 11:52 am
Mkuu wa Wilaya ya Hai Hassan Bomboko amesisitiza ushirikiano kati ya viongozi na wananchi katika kufungua mitaro na njia za maji, huku akiwataka wakazi wa maeneo hatarishi kuchukua tahadhari mapema kwa kuhama kwa muda na kulinda mali zao dhidi ya…
29 August 2026, 3:18 pm
Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe, ameendelea kufuatilia kwa karibu upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi wake, akiiomba Serikali kuunga mkono juhudi za wananchi waliokwisha anza ujenzi wa zahanati kwa michango yao, na kwamba kukamilika kwa zahanati…
28 August 2026, 7:55 am
Mkuu wa Wilaya ya Hai Hassan Bomboko amesisitiza umuhimu wa chanjo ya polio ya matone kwa watoto chini ya miaka 10, huku Mganga Mkuu wa Wilaya akieleza kuwa zaidi ya watoto 63,000 wanalengwa kufikiwa katika kampeni hiyo ,Viongozi wazazi na…
27 August 2026, 11:58 pm
Wafanyabiashara wadogo marufu machinga na wale wote wenye mitaji kuanzia sifuri hadi milion 4 wilaya ya Hai mbioni kupata ofisi inayojengwa kwa zaidi ya milioni 43. Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro Katibu Mkuu wa Wafanyabiashara Ndogondogo Mkoa wa Kilimanjaro, Willy Stivin…
27 August 2026, 9:17 am
Jeshi la Polisi wilaya ya Hai kitengo cha Polisi jamii limetoa elimu kuhusu kupinga uhalifu na matumizi ya madawa ya kulevya katika shule ya sekondari Lyamungo na katika jamii. Na Henry Keto Jeshi la Polisi Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro,…
26 August 2026, 4:48 pm
Wazazi na walezi watakiwa kushiriki kikamilifu katika kampeni ya chanjo ya polio kwa kuhakikisha watoto walio chini ya umri wa miaka 10 wanapata chanjo hiyo, ikiwa ni hatua ya kuwakinga dhidi ya ugonjwa wa polio. Na Vaileth Silvester Hai, Kilimanjaro…
26 August 2026, 3:57 pm
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Hassan Bomboko, amesisitiza ushirikiano wa viongozi wa serikali, dini na jamii katika kuhamasisha wazazi na walezi kuwapeleka watoto walio chini ya miaka 10 kupata chanjo ya polio, huku zoezi hilo likitarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 27…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha