Boma Hai FM

Recent posts

23 June 2026, 1:32 pm

Mbunge ahoji mgogoro wa Chama cha Ushirika na mwekezaji

Serikali imesema itachukua hatua za kuvunja mkataba kati ya Chama cha Ushirika cha Mrososangi na mwekezaji husika endapo ujenzi wa kiwanda cha kuchakata parachichi hautatekelezwa kwa mujibu wa makubaliano yaliyowekwa. Na Mwandishi wetu Serikali imesema itavunja mkataba kati ya Chama…

23 June 2026, 1:15 pm

Mkuu wa Wilaya amahasisha mazoezi

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Hassan Omary Bomboko amesisitiza umuhimu wa mazoezi kwa afya na maendeleo ya jamii, huku akiwahamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika shughuli za mapokezi ya Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kuwasili wilayani Hai Julai 3, 2026. Na Juma…

23 June 2026, 11:27 am

Jeneza kuwekwa juu ya gari la Dc, Dc Timbuka atoa ufanunuzi

Mkuu wa Wilaya ya Siha, Dkt. Christopher Timbuka, amesema serikali na vyombo vya ulinzi vilichukua hatua mbalimbali kudhibiti sintofahamu zilizojitokeza wakati wa mazishi ya kijana Emanueli, ikiwemo kuwaachilia waliokamatwa na kutumia nguvu kiasi kurejesha utulivu na kwamba mazishi yalikamilika salama…

20 June 2026, 10:07 am

Mbunge ahoji hatima ujenzi chuo na kituo cha afya

Serikali imewahakikishia wananchi wa Narumu na Jimbo la Hai kwa ujumla kuwa juhudi zinaendelea kuhakikisha mradi wa ujenzi wa Chuo cha Afya Narumu na Kituo cha Afya unapata fedha za kutosha ili kukamilika kwa wakati. Na James Gasindi Serikali imesema…

14 June 2026, 8:54 am

Myinga ataka vikundi kutumia mikopo kwa tija na kurejesha kwa wakati

Pichani ni wajisirimali mbalimbali waliohudhuria katika mafunzo ya mikopo ya asilimia 10 yaliyofanyika shule ya msingi Kibaoni (picha na Juma Robert) Vikundi mbalimbali vya Wilaya ya Hai vilivyoshiriki mafunzo ya ujasiriamali vimeeleza kuwa elimu waliyoipata itawasaidia kusimamia vyema fedha za…

12 June 2026, 4:00 pm

Rc Babu amaliza mgogoro wa ardhi uliodumu miaka 23 Hai

Serikali mkoani Kilimanjaro imefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa wilaya ya Hai na Chama cha Ushirika FONRWA,uliodumu kwa miaka 23. Na Anasta UrioHai-Kilimanjaro Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu ametatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka…

21 May 2026, 3:01 pm

NGOs zatakiwa kulinda mila na desturi za Kitanzania

Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) wilayani Hai yamehimizwa kuzingatia sheria, utamaduni wa Kitanzania na uwajibikaji wa kifedha wanapopokea ufadhili kutoka nje, ili kuhakikisha shughuli zao zinaendelea kuleta maendeleo chanya kwa jamii. Na Juma Robert Mashirika yasiyo ya kiserikali wilayani Hai …

21 May 2026, 12:48 pm

Mbunge ataka utekelezaji sheria elimu ya lishe

Kutokana na kuibuka kwa wimbi la watoa elimu ya lishe mtandaoni wasio na taaluma husika, mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe ahoji ni lini sheria itaanza kutekelezwa kikamilifu kwa wote wanaokiuka utaratibu huo. Na James Gasindi Mbunge wa Hai …

20 May 2026, 4:34 pm

Ukitupa taka hovyo Kwasadala ,faini inakuhusu

Katika kuendelea kutunza mazingira wananchi wa kijiji cha Kwasadala wameweka maazimio ya kuweka kijiji hicho katika hali ya usafi na kukubaliana kuweka faini kwa yeyote atakaekaidi. Na Elizabeth Mafie Wananchi wa Kijiji cha Kwasadala wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamekubaliana…

Dira na Dhamira

DIRA

Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja

DHAMIRA

Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha