Kitulo FM

Recent posts

March 9, 2023, 10:44 am

Wanawake waaswa kutumia Teknolojia

Katibu Tawala Wilaya ya Makete Bi. Grace Mgeni akizungumza na Wawawake waliojitokeza kwenye Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mwanamke Duniani

March 7, 2023, 9:59 pm

Polisi Wanawake Makete wawafariji Yatima Bulongwa

Mtandao wa Jeshi la Polisi Wanawake Wilayani Makete Mkoani Njombe wametembelea kituo cha kulelea watoto Yatima Bulongwa na kutoa msaada wa vitu mbali mbali vyenye thamani ya shilingi laki tatu . Philipina mkumbo  ni Mkuu wa upelelezi Wilaya ya Makete…

March 7, 2023, 9:52 pm

Wanawake na Wanaume Makete wawatembelea Wafungwa Gerezani

Kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani wanawake kwa kushirikiana na wanaume Kata ya Iwawa, wametembelea wafungwa katika gereza la Wilaya ya Makete lililopo kijiji cha Ndulamo  wakiwa na lengo  la kuungana nao katika maadhimisho hayo  kwa kuwafariji na kuwapa…

March 7, 2023, 9:35 pm

Mkuu wa Mkoa wa Njombe awapongeza watumishi Makete kwa Ubunifu

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Antony Mtaka amewapongeza Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa ubunifu wa Miradi mbalimbali ikiwemo Kilimo cha zao la Ngano. Pongezi hizo amezitoa leo Machi 7, 2023 akiwa kwenye Kikao kazi kati ya…

March 6, 2023, 6:59 pm

Kikao Kazi kuelekea Kilimo cha Ngano Makete

Kikao kazi cha maafisa Ugani na Kilimo Halmashauri ya Wilaya ya Makete kitakachofanyika kwa siku mbili kimeanza leo katika Mkakati wa kuendeleza zao la Ngano Makete. Kikao hicho kimehudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwemo wanafunzi 80 kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo…

Mission and Vision

Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo