Highlands FM

Recent posts

8 October 2026, 1:52 pm

Vyama vyataka haki na usawa kuelekea uchaguzi mdogo, Nonde

Uchaguzi mdogo Nonde: Vyama vyataka haki na usawa katika mchakato wa uchaguzi, huku Tume ikiahidi kusimamia kwa mujibu wa sheria.Je, maandalizi yakoje kuelekea Novemba 4? Fuatilia taarifa kamili hapa. Na Samwel Mpogole Viongozi wa vyama vya siasa jijini Mbeya wameitaka…

6 October 2026, 8:53 am

Wahamasishwa kuandika habari za wenye ulemavu

Habari za watu wenye ulemavu zinahitaji sauti zaidi! Wandishi wahamasishwa kutumia kalamu zao kuibua haki, changamoto na mafanikio yao. Na Samwel Mpogole Wandishi wa habari kutoka redio jamii kumi za mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, wamehamasishwa kuongeza uandishi wa…

5 October 2026, 4:13 pm

Wanafunzi wa kike wahamasika kusoma sayansi kupitia darasa janja

Darasa janja limeanza kubadili namna wanafunzi wa kike Garijembe wanavyojifunza sayansi!Je, TEHAMA imewapa hamasa gani? kwa nini darasa hili limekuwa kivutio kwa wanafunzi Na Samwel Mpogole Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imeendelea kutumia TEHAMA kuboresha mazingira ya kujifunzia, hatua ambayo…

5 October 2026, 3:12 pm

Ukataji miti ovyo Chunya wasababisha ongezeko la joto

Na Mwanaisha Makumbuli,Highlands Fm Radio Katika miaka ya hivi karibuni, athari za mabadiliko ya tabianchi zimeanza kujidhihirisha kwa kasi kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya. Wilaya hii, ambayo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya…

4 October 2026, 11:23 pm

Bakwata yasisitiza amani na mshikamano Misikitini

Waumini wa dini ya Kiislamu jijini Mbeya wametakiwa kutumia misikiti kama majukwaa ya kujenga upendo, mshikamano na amani katika jamii. Na Samwel Mpogole Wito huo umetolewa na Kadhi wa Mkoa wa Mbeya, Sheikh Hassan Mbarazi, wakati wa uzinduzi wa msikiti…

4 October 2026, 8:19 pm

Madereva 8 wafungiwa leseni Mbeya

Zikiwa zimepita siku chache tangu mgomo wa madereva wa mabasi, Jeshi la Polisi Mbeya limetoa taarifa kuhusu usalama barabarani na kuwafungia leseni madereva 8 kwa makosa hatarishi. Na Samwel Mpogole Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika kipindi cha mwezi…

2 October 2026, 10:00 am

Wananchi  Mbarali  kunufaika na ujenzi wa daraja jipya

Wananchi wa Kata ya Mahongole, Mbarali mkoani Mbeya, wanatarajia kuondokana na changamoto ya usafiri wakati wa mvua baada ya ujenzi wa Daraja la Mlowo kufikia asilimia 85. Na Samwel Mpogole Wananchi wa Kata ya Mahongole, Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya,…

1 October 2026, 12:11 pm

Wanahabari wahimizwa kuimarisha afya ya akili

Kutokana na changamoto za afya ya akili kuongezeka, waandishi wa habari wametakiwa kujenga uwezo wa kudhibiti na kuhimili hisia wanapotekeleza majukumu yao.Je, waandishi wanapaswa kuchukua hatua gani kujilinda? Na Samwel Mpogole Waandishi wa habari wametakiwa kujenga uwezo wa kudhibiti na…

9 June 2026, 3:10 pm

Kyela inavyobadili kilimo kuwa uchumi na utalii mpya

Picha na Samwel Mpogole Mussa Kutoka mashamba ya Kyela hadi masoko ya dunia, kakao, kahawa na parachichi sasa si mazao tu bali ni daraja jipya la uchumi unaounganisha wakulima, wawekezaji na watalii; safari inaanzia shambani na kuishia mezani. Na Samwel…

About us

Welcome to Mbeya Highlands FM, your premier source for quality radio broadcasting in Tanzania. We are committed to bringing you the best in news, entertainment, and music, and strive to make your listening experience as enjoyable and informative as possible.

Our team of dedicated professionals works tirelessly to produce high-quality content that reflects the interests and needs of our listeners. From breaking news stories and in-depth interviews to the latest music hits and cultural programming, we cover a wide range of topics that are relevant to our community.

At Mbeya Highlands FM, we believe in the power of radio to connect people and foster dialogue. Our programming is designed to reflect the diversity of our community and promote understanding and appreciation of different cultures and perspectives. Whether you’re tuning in for the latest news updates or just looking to relax and enjoy some great music, we’ve got you covered.

Our station is committed to supporting local talent and promoting homegrown artists. We regularly feature interviews and performances by local musicians, and showcase the vibrant arts and culture scene in our region. We also provide a platform for community members to share their views and opinions on important issues affecting our society.

With our state-of-the-art facilities and experienced team of professionals, Mbeya Highlands FM is dedicated to delivering the highest quality radio programming in Tanzania. We are always looking for ways to improve our service and welcome your feedback and suggestions.

Thank you for choosing Mbeya Highlands FM as your go-to source for quality radio broadcasting. We look forward to serving you and keeping you informed and entertained for years to come.