23 March 2026, 3:40 pm

Maafisa afya, walimu Mbeya kuwa mabalozi wa hedhi salama

Wizara ya Afya kwa kushirikiana na UNICEF imetoa mafunzo kuhusu mwongozo wa hedhi salama kwa maafisa afya pamoja na waratibu wa afya shuleni, yakilenga kuongeza uelewa wa jamii juu ya umuhimu wa hedhi salama kwa wasichana na wanawake. Na Anitha…

Offline
Play internet radio

Recent posts

5 November 2026, 2:50 pm

TAKUKURU yawanasa wanaouza nafasi za JKT

TAKUKURU Mbeya yarejesha fedha za wananchi waliotapeliwa kwa ahadi za nafasi za kujiunga na JKT, huku ikiokoa pia milioni 4.5 zilizotokana na uuzaji wa eneo la kijiji Na Samwel Mpogole Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa…

4 November 2026, 6:54 pm

Mafuriko Nzovwe nyumba 21 zabomoka, kaya 43 zakosa makazi

Mafuriko Nzovwe, Mbeya: Nyumba 21 zimebomoka na kaya 43 kukosa makazi! Wananchi waomba msaada wa haraka huku Serikali na wadau wakichukua hatua kusaidia waathirika. Tazama taarifa kamili ujue kilichotokea. Na Samwel Mpogole Wanachi wa Kata ya Nzovwe jijini Mbeya wameiomba…

29 October 2026, 6:01 pm

SHZRH Kuandaa bonanza la familia, huduma za afya bure

SHZRH yaandaa bonanza la familia lenye huduma za afya BURE, michezo na burudani jijini Mbeya!Jiandae kushiriki SHZRH Family Day 2026, tukio la afya, furaha na mshikamano wa familia. Na Samwel Mpogole Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Nyanda za Juu…

22 October 2026, 11:13 pm

Mauaji ya wanawake wawili, mtuhumiwa afariki dunia

Miili ya wanawake wawili yakutwa imefichwa uvunguni mwa kitanda jijini Mbeya. Polisi wafichua yaliyojiri katika uchunguzi wa tukio hilo la mauaji Na Samwel Mpogole Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limemkamata mtuhumiwa Benson Steven maarufu kwa jina la Mkembo, akituhumiwa…

22 October 2026, 10:47 am

Miezi 6 bila mshahara! Wafanyakazi wa ushuru wa maegesho wafunguka

Miezi sita bila mshahara! Wafanyakazi wa ushuru wa maegesho jijini Mbeya wafunguka kuhusu hali ngumu wanayopitia, huku mkurugenzi wa kampuni akieleza upande wake wa madai hayo. Na Samwel Mpogole Wafanyakazi wa kampuni ya Bezzu inayohusika na ukusanyaji wa ushuru wa…

15 October 2026, 1:17 pm

Wazee wataja mahitaji wanayoidai serikali

Na Samwel Mpogole Wazee jijini Mbeya wameikumbusha serikali kuwa wakati wakiwa na nguvu walitoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya taifa hivyo ni wakati wa serikali kuwakumbuka wazee kwa kuwapa haki zao zikiwemo sheria ya wazee, pensheni, bima za afya na…

13 October 2026, 2:09 pm

Kituo cha ESRAC mbeya chasaidia kutambua watoto wenye mahitaji maalum

Kituo cha ESRAC kilichopo Mwenge, jijini Mbeya, kinaendelea kuwa msaada muhimu katika kutambua watoto wenye mahitaji maalum kupitia tathmini ya changamoto za ufahamu, usikivu na uoni. Na Thobias Mgimwa Kituo cha Tathmini, Rasilimali na Msaada wa Kielimu (ESRAC), kilichopo Mtaa…

13 October 2026, 10:40 am

Chunya kuwafikisha mahakamani wadaiwa wa mikopo ya asilimia 10

Watu wenye ulemavu watajwa miongoni mwa wanufaika wenye changamoto ya kurejesha mikopo ya asilimia 10 Chunya, huku madeni ya vikundi katika baadhi ya kata yakifikia shilingi milioni 600. Na Samwel Mpogole Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya,…

About us

Welcome to Mbeya Highlands FM, your premier source for quality radio broadcasting in Tanzania. We are committed to bringing you the best in news, entertainment, and music, and strive to make your listening experience as enjoyable and informative as possible.

Our team of dedicated professionals works tirelessly to produce high-quality content that reflects the interests and needs of our listeners. From breaking news stories and in-depth interviews to the latest music hits and cultural programming, we cover a wide range of topics that are relevant to our community.

At Mbeya Highlands FM, we believe in the power of radio to connect people and foster dialogue. Our programming is designed to reflect the diversity of our community and promote understanding and appreciation of different cultures and perspectives. Whether you’re tuning in for the latest news updates or just looking to relax and enjoy some great music, we’ve got you covered.

Our station is committed to supporting local talent and promoting homegrown artists. We regularly feature interviews and performances by local musicians, and showcase the vibrant arts and culture scene in our region. We also provide a platform for community members to share their views and opinions on important issues affecting our society.

With our state-of-the-art facilities and experienced team of professionals, Mbeya Highlands FM is dedicated to delivering the highest quality radio programming in Tanzania. We are always looking for ways to improve our service and welcome your feedback and suggestions.

Thank you for choosing Mbeya Highlands FM as your go-to source for quality radio broadcasting. We look forward to serving you and keeping you informed and entertained for years to come.