Highlands FM
Highlands FM
15 October 2026, 1:17 pm

Na Samwel Mpogole
Wazee jijini Mbeya wameikumbusha serikali kuwa wakati wakiwa na nguvu walitoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya taifa hivyo ni wakati wa serikali kuwakumbuka wazee kwa kuwapa haki zao zikiwemo sheria ya wazee, pensheni, bima za afya na ushirikishwaji katika maamuzi mbalimbali yanayohusu taifa.