Bima
28 July 2026, 16:36
Homa ya ini inaweza kuingia mwilini bila kuonesha dalili
Ugonjwa huu unapoingia mwilini huendelea kuharibu ini taratibu hadi kulisababisha kusinyaa na baadaye kupelekea saratani. Na Jerome John Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Homa ya Ini leo Jumanne, Julai 28, wataalamu wa afya wameonya kuwa ugonjwa huo unaweza kuingia mwilini…
13 February 2023, 15:07
Bima ya Afya kwa wote itasaidia kupunguza gharama za matibabu
Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote ambao ulikuwa uwasilishwe bungeni Wiki iliyopita ulikwama kwa mara nyingine ikiwa ni mara ya pili kwa muswada huo kukwama tangu usomwe kwa mara ya kwanza bungeni katika mkutano wa nane wa Bunge na…
3 February 2023, 16:36
Tunashindwa kuelewa juu ya mfumo wa Bima ulivyo
Imeelezwa kuwa licha ya mikakati mbalimbali ya uboreshwaji wa huduma za afya bado wananchi wameendelea kulalamika huduma ya bima ya CHF iliyoboreshwa. Na Victor Chigwada Wananchi wa Kata ya Mlowa Barabarani wamesema kuwa wanashindwa kuelewa mfumo wa bima ulivyo ,kutokana…
21 February 2022, 15:32
Uchangiaji wa vifaa vyenye ncha kali watajwa kuchangia maambukizi ya homa ya ini
Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa kuchangia matumizi ya vifaa vyenye ncha kali ni miongoni mwa sababu zinazoweza kupelekea ugonjwa wa ini. Hayo yameelezwa na daktari bingwa wa magonjwa ya figo kutoka Hospital ya Benjamin Mkapa Bwana Festo Sizamin wakati akizungumza…