Radio Tadio

Wazee

26 September 2026, 11:52 pm

Vijana wanne wanusurika kuuawa kwa tuhuma za wizi Arusha

Vijana wanne wamenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kujaribu kufanya wizi wa studio katika eneo la Soko Barazani, Kijiji cha Naurei, Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha. Na Gasper Sambweti Tukio hilo limetokea hivi karibuni baada…

16 September 2026, 14:43

Taasisi zatakiwa kutenga 30% ya zabuni kwa makundi maalumu Kasulu

Asilimia 30 inalenga kuhakikisha makundi hayo hayabaki watazamaji katika matumizi ya fedha za Serikali, bali yanashiriki moja kwa moja kama wazabuni na watoa huduma Na Emmanuel Kamangu Taasisi za ununuzi za Serikali katika Kanda ya Magharibi zimetakiwa kuhakikisha zinazingatia matakwa…

20 August 2026, 07:50

Waziri Katimba ataka wananchi kuchangamkia mikopo ya 10% Kigoma

Serikali imekuwa ikitoa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri kwa makundi mbalimbali, huku ikiweka msisitizo katika usimamizi na utoaji wa elimu kwa wanufaika ili kuhakikisha mikopo hiyo inaleta matokeo yaliyokusudiwa. Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa Katiba na…

24 July 2026, 14:06

Kasulu yatenga zaidi ya milioni 200 mikopo ya 10%

Mpango wa mikopo ya asilimia 10 umeendelea kuwa chachu ya maendeleo ya vikundi kwa kuongeza mtaji, kuimarisha shughuli za kiuchumi, kuongeza ajira na kipato cha wanachama, pamoja na kuboresha ustawi wa familia na jamii kwa ujumla. Na Hagai Ruyagila Halmashauri…

2 July 2026, 11:01

Kasulu yatoa milioni 261 kwa vikundi 24

Utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani na Halmashauri ni moja ya mikakati ya Serikali ya kuwawezesha wananchi kiuchumi, hususan wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili kusaidia kuendeleza na kupanua shughuli za uzalishaji na biashara, jambo…

29 June 2026, 14:35

RAS Kigoma ataka wanufaika wa mikopo kuitumia kwa malengo

Serikali imeendelea kutekeleza mpango wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kupitia Halmashauri mbalimbali nchini kwa lengo la kuwawezesha wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kujikwamua kiuchumi. Na Emmanuel Kamangu Jumla ya zaidi ya shilingi milioni 600 zimetolewa na Halmashauri…

13 June 2026, 13:16

Timu ya kutathmini mikopo yakagua miradi ya vikundi Uvinza

Wakati vikundi mbalimbali vilivyokidhi vigezo na kupokea mikopo vikiwa vinaendelea utekelezaji wa miradi yao timu ya kutathimini mikopo imewatembelea ili kujionea shughuli wanazofanya Na Mwandishi wetu Timu ya tathmini ya vikundi ngazi ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza imetembelea vikundi…

10 June 2026, 14:04

Plan yaacha alama Kilombero

Shirika la Plan International limehitimisha shughuli zake za ufadhili wa watoto katika Wilaya ya Kilombero baada ya zaidi ya miaka 30, likiacha mafanikio makubwa katika elimu, afya, ustawi wa watoto na uwezeshaji wa jamii. Na: Isidory Mtunda Baada ya zaidi…

9 June 2026, 11:22

Vikundi 30 vyanufaika na mikopo ya milioni 300 Kigoma

Mikopo hiyo inayotolewa na Benki ya CRDB ambayo inatokana na mapato ya ndani ya Halmashauri ni moja ya njia muhimu za kuwawezesha wananchi wenye kipato cha kujikwamua kiuchumi na mikopo hii imeanzishwa kwa lengo la kuwapa wanufaika mtaji wa kuanzisha…