Karagwe FM

SAWAKA kutumia mabaraza kudai haki za wazee Kagera

19 October 2026, 15:44

Afisa miradi, ufuatiliaji na tathmini wa shirika la SAWAKA Avith Theofil akitoa mafunzo kwa wazee wa wilaya ya Karagwe mjini Kayanga. Picha na Edisoni Galeba

Shirika la kusaidia wazee mkoani Kagera SAWAKA wanatekeleza mradi wa kuimarisha mabaraza ya wazee ili yatumike kama majukwaa ya kupaza sauti kushawishi serikali na wadau wa maendeleo watoe haki na stahiki za kundi hilo maalum katika jamii.

Mradi huo wa miezi 8 ujulikanaokama ‘’Sauti ya Wazee’’unatekelezwa tangu mwezi  Julai 2026 na unalenga kuwafikia zaidi ya wazee 2000 mkoani Kagera.

Yafuatayo ni mahojiano kati ya mwandishi wetu Edisoni Tumaini Galeba na afisa miradi, ufuatiliaji na tathmini wa shirika la SAWAKA Avith Theofil.

Mahojiano kati ya Edisoni Tumaini Galeba na afisa miradi, ufuatiliaji na tathmini wa shirika la SAWAKA Avith Theofil.
Baadhi ya wa wazee wa Karagwe wakipokea mafunzo kupitia shirika la SAWAKA. Picha na Edisoni Galeba