Karagwe FM

Sita wanusurika kifo baada ya kutokea ajali

16 April 2021, 9:14 pm

Watu sita wakiwemo wanafunzi wanne wamenusurika kifo baada ya kutokea ajali ya gari lenye namba za usajili T 780 DNS iliyotokea eneo la mzunguko wa barabara ya Rwamishenye Manispaa ya Bukoba Mkoani kagera.

Kamishina msaidizi wa Polisi na Kaimu kamanda Jeshi la Polisi Mkoa Kagera amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo April 16 mwaka huu.

Sauti ya Kamanda Msangi.