Karagwe FM

CPCT Karagwe kupambana na ukatili wa kijinsia-Makala

13 March 2024, 4:39 pm

Akofu wa kanisa la Calvary Assembles God Tanzania – Kagera ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania CPCT Wilaya Karagwe Askofu Danian Dominic Rwabutikula ameongoza wachungaji wa makanisa hayo na kujadili namna ya kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia pamoja na kujiua ambapo wamekubaliana kwa pamoja kushirikiana kutoa elimu kwa waumini wao juu ya madhara ya kujiua na ukatili wa kijinsia.