Karagwe FM

“Mimba kwa wanafunzi sawa na dawa za kulevya”

12 April 2021, 12:04 pm

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa Kagera Revocatus Malimi amesema kuwa Jeshi la Polisi mkoani hapa limeandaa mikakati mbalimbali itakayosaidia kupambana na tatizo la mimba za utotoni kwa wanafunzi  wanaosoma katika shule za Msingi na Sekondari .

Rpc Kagera- Revocatus Malimi

Kamanda Malimi amesema kuwa  mikakati hiyo imeandaliwa ili kupambana na wanaume ambao wamekuwa  wakijenga mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi na kuwasababishia mimba ambazo ni chanzo cha kuwafanya  washindwe kufikia ndoto zao.

Sauti ya Rpc Kagera – Revocatus Malimi