Recent posts
20 December 2024, 10:58 am
Wadau wajipanga kukomesha utapiamlo Kagera
Utapiamlo ni hali mbaya ya lishe ambayo inaweza kuwa pungufu au iliyozidi. Katika nchi zinazoendelea kama Tanzania, utapiamlo ulioenea zaidi ni ule wa ulaji duni. Na Jovinus Ezekiel Wadau wa lishe mkoani Kagera wametakiwa kuwa mstari wa mbele kushirikiana na…
6 December 2024, 9:12 pm
Mbunge wa Nkenge Missenyi asimulia alivyonusurika katika ajali
Wabunge 16 wakiwemo wawili wa mkoa wa Kagera Florent Kyombo wa Nkenge na Innocent Bilakwate wa Kyerwa, maofisa wawili wa bunge na dereva wa basi la kampuni ya mabasi ya Shabby wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Mbande,…
5 December 2024, 12:31 pm
Kidato cha nne Katoro sekondari watakiwa kutimiza ndoto
Mwenyekiti wa jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM mkoa wa Kagera bw. Faris Buruhan ameendelea kutoa nasaha kwa vijana hasa walioko katika shule za sekondari mara hii akiwaasa kusoma kwa malengo na kutimiza ndoto zao Na…
4 December 2024, 9:37 pm
Waliofariki ajali ya Karagwe watambuliwa, dereva atiwa mbaroni
Miili ya watu watano kati ya saba waliofariki dunia kwa ajali iliyotokea Desemba 3,2024 katika kata ya Kihanga wilayani Karagwe imetambuliwa na kukabidhiwa kwa ndugu zao kwa taratibu za mazishi Na Jovinus Ezekiel Serikali wilayani Karagwe imelitaka jeshi la polisi…
3 December 2024, 6:37 pm
Saba wapoteza maisha kwa ajali Karagwe
Wimbi la ajali za barabarani linaendelea kuchukua uhai wa watu nchini Tanzania wanaotumia vyombo vya moto hususan magari ya abiria ambayo mara nyingi hugongana na magari ya mizigo Na Shabani Ngarama Watu saba wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katikia…
20 November 2024, 1:43 pm
CHADEMA Bukoba DC kuzuia uchaguzi mahakamani
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Bukoba vijijini bw. Deusdedith Rwekaza. Picha na Theophilida Felician Wakati mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa ukiingia katika hatua ya kampeni, Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA jimbo la Bukoba vijijini kimeeleza kuchukua hatua…
16 November 2024, 10:52 am
Waislamu Karagwe wasoma dua kwa ajili ya uchaguzi
Baraza kuu la waislamu Tanzania BAKWATA wilaya ya Karagwe mkoani Kagera kupitia msikiti wa Kihanga wamekubali ombi la Jumuiya ya vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM wilaya ya Karagwe na kufanya dua maalum kuombea taifa na uchaguzi wa serikali za…
13 November 2024, 12:44 pm
Udumavu, watoto kukonda bado ni tatizo Kyerwa
Halmashauri ya wilaya ya Kyerwa kama zilivyo halmashauri zingine mkoani Kagera inaendelea kutekeleza afua za lishe ili kupunguza udumavu na ukondefu kwa watoto Na Jovinus Ezekiel Halmashauri ya wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera imejipanga kuendelea kuboresha hatua za utaoji wa…
13 November 2024, 11:24 am
DC Laiser adhamiria kuzuia matumizi ya mkaa Karagwe
Mkuu wa wilaya ya Karagwe Julius Kalanga Laiser ameshtushwa na ukataji mkubwa wa miti unaofanywa na wananchi kwa ajili ya kutengeneza mkaa hali inayotishia maisha kwa binadamu na wanyama kutokana na ukame siku za usoni Na Edison Tumaini Anatory Katika…
9 November 2024, 10:17 pm
Muleba Stars wachapwa 5-1 na BMC ya Bukoba kombe la Samia Kagera
Burudani ya mpira wa miguu imeanza mjini Bukoba mkoani Kagera kupitia ligi ya Samia Kagera inayolenga kuwahamsisha vijana wa mkoa huu kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024 Theophilida Felician. Pazia la mashindano ya Samia Kagera Cup 2024…