Karagwe FM

Recent posts

6 September 2025, 19:54

Kagasheki aahidi ujenzi wa soko Rwamishenye

Chama Cha Mapinduzi CCM mkoani Kagera kinaendelea na kampeni za kusaka udiwani ubunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika maeneo mbalimbali wakiahidi miradi ya maendeleo ikiwa wananchi wataendelea kukichagua Theophilida Felician Bukoba. Wafanya biashara wadogo kando ya…

4 September 2025, 14:44

Malalamiko 370 yapokelewa na EWURA CCC Kagera

Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za nishati na maji EWURA CCC mkoa wa Kagera limeendeleza utamaduni wa kufuatilia kero za wananchi wanaotumia huduma hizo na kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri na elimu kwa wananchi juu…

30 August 2025, 20:38

Mgombea ubunge CHAUMMA aahidi makubwa Bukoba mjini

Saulo mwenye elimu ya shahada ya kwanza katika sayansi ya usimamizi wa mazingira chuo kikuu cha kilimo Sokoine na shahada ya uzamili ya Sayansi ya afya ya jamii Muhimbili ameahidi kutumia elimu na uzoefu wake kuleta maendeleo ya wananchi wa…

29 August 2025, 19:11

Serikali yatunuku cheti cha utambuzi kwa SHIWACHANDO

Wanaume katika jamii wametakiwa kuripoti ukatili unaofanyika dhidi yao,yakiwemo matukio ya unyanyasaji sambamba na kupigwa na wenza wao majumbani. Na Theophilida Felician Shirika la wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa SHIWACHANDO limeipongeza serikali chini ya wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia,…

24 August 2025, 19:00

TAMESO (T) yabaini elimu duni kwa waganga wa tiba asili

Chama cha waganga wa tiba asili nchini TAMESO (T) kimebaini changamoto nyingi ikiwa ni pamoja na ushiriki mdogo wa waganga kwenye vikao vya kuwapatia elimu Na Mwandishi wetu Chama cha waganga wa tiba asili nchini TAMESO (T) ambacho kimeungana na…

24 August 2025, 18:29

Yatima wakabidhiwa nyumba iliyojengwa na Rais Samia Bukoba

Wakati watoto yatima katika maeneo mengi nchini wakitengwa katika makazi ya upweke, hali imekuwa tofauti kwa watoto sita yatima wajukuu wa bibi Catherine Nathanael wa mtaa wa Bulibata kata ya Buhembe manispaa ya Bukoba mkoa wa Kagera. Na Theophilida Felician,…

17 August 2025, 19:44

Wawili wasimamishwa tuhuma ubadhirifu mil.500 za ushirika Karagwe

Baadhi ya wajumbe wa chama cha ushirika Nguvu mali wilayani Karagwe wamejikuta katika tuhuma za ubadhirifu wa fedha na kusababisha hasara kwa ushirika huo Na Jovinus Ezekiel, Karagwe Wanachama wa chama cha ushirika wa Nguvu Mali  wilayani Karagwe mkoani Kagera…

11 August 2025, 14:44

Askofu Mndolwa: Chagueni viongozi watakaotekeleza Dira 2050

Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kagera linaadhimisha miaka 40 ya kuanzishwa kwake kwa kukagua na kuzindua miradi mbalimbali iliyokamilika na inayoendelea kutekelezwa Na Jovinus Ezekiel, Karagwe Askofu mkuu wa kanisa la Anglikana Tanzania Dk Maimbo Mndolwa amewahimiza waumini kuendelea kuliombea…

8 August 2025, 20:11

TAMESO (T) waomboleza kifo cha Ndugai

Kifo cha mwanasiasa mkongwe na spika mstaafu Job Ndugai kimewagusa watu wengi wakiwemo waganga wa tiba asili nchini hasa wanachama wa TAMESO Tanzania Na Theophilida Felician. Chama cha waganga wa tiba asili nchini TAMESO (T) kimeelezea kuguswa na kifo cha…

8 August 2025, 19:52

SHIVYAWATA Bukoba yapongeza utumishi wa Lugangila

Viongozi wa shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu SHIVYAWATA katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameonesha kutoridhishwa na kura za maoni za wajumbe wa chama cha mapinduzi CCM zilizomnyima ushindi aliyekuwa mbunge wa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali Neema Lugangila…

KARAGWE FM PROFILE

UTANGULIZI.
Radio Karagwe ni Radio ya kijamii iliyoanzishwa na shirika lisilokuwa la kiserikali lijulikanalo kama Karagwe Media Association (KAMEA).Ilianza kurusha matangazo yake Desemba 11.2007 kupitia masafa ya 91.4 MHz kwa ufadhili wa shirika la nchini Denmark (ULD80 Karagwe Venor) waliowezesha mafunzo kwa watumishi na upatikanaji wa vifaa.

DIRA.
Kuziba pengo la mawasiliano kwa wananchi wa Karagwe ambao kwa wakati huo hawakuwa na uwezo wa kusikiliza radio za Tanzania kutokana na jiongrafia ya eneo.

MAENEO REDIO INAKOSIKIKA
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na ULD80 June mwaka 2012 Radio Karagwe ina zaidi ya wasikilizaji milioni 1.2.(KM 200 KUTOKA MAKAO MAKUU).Inasikika katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Kagera,katika wilaya za Karagwe, Kyerwa, Missenyi, Muleba na Bukoba Vijijini. Inasikika katika maeneo machache wilaya za Ngara, Biharamulo na Bukoba manispaa. Pia inasikika maeneo ya nchi jirani za Uganda, Burundi na Rwanda.

MAWASILIANO.
S.L.P 316,KARAGWE KAGERA TZ
E-mail : radiokaragwe@gmail.com
Phone: +255 754 677 708 / +255 689 471 171