Karagwe FM

Halmashauri zote zapewa maagizo.

24 April 2021, 7:28 am

Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti amewataka wajasiriamali wadogo kuchangamkia fursa ya kupata vitambulisho vipya vya kielectroniki vilivyoanza kutolewa na mamlaka ya mapato Tanzania TRA.

Rc Kagera – Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti

Ametoa wito huo wakati alipokuwa akiongea na wakuu wa wilaya pamoja na wakurugenzi wa Halmashauri zote za mkoa Kagera April 23 mwaka huu.

Sauti ya RC Kagera na wakuu wa wilaya