

August 23, 2022, 3:15 pm
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mh Aswege Kaminyoge ameshiriki Kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi Mapema hii leo..
Mh Kaminyoge amehesabiwa nyumbani kwake Kitongoji cha Mwantoja kata ya Nyalikungu Wilayani Maswa…
Aidha Mh Kaminyoge ametoa wito kwa Wananchi kuwapa Ushirikiano Makarani wa Sensa wanaopita katika Kaya zao kwa ajili ya kuchukua Taarifa…