Recent posts
8 February 2024, 7:23 pm
Wanusurika kifo baada ya kula samaki wanaodaiwa kuwa na sumu Sengerema
Matukio ya watu kula samaki wanaodaiwa kuwa na sumu hutokea kwa baadhi ya maeneo hapa nchini ambapo katika kijiji cha Igaka ndio mara ya kwanza kutokea. Na:Said Mahera Watu saba wa familia moja wamenusulika kifo baada ya kula mbonga aina…
7 February 2024, 7:59 pm
Mwili wa kichanga waokotwa kwenye shamba la mahindi Sengerema
Tukio la kichanga kukutwa kimefariki kwenye Shamba la mahindi limewashangaza na kuibua hisia tofauti kwa wakazi wa kijiji cha Ngoma, ambapo mpaka sasa hawajaweza kutambua mama wa kichanga hicho. Na; Emmanuel Twimanye Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi 8…
5 February 2024, 5:15 pm
Mtoto afariki kwa kutumbukia kwenye shimo la choo mjini Sengerema
Wananchi mjini Sengerema wametakiwa kufunika au kufukia mashimo yaliowazi ili kuepusha matukio ya watoto kutumbukia na atakae kaidi sheria kali zitachukuliwa dhidi yake. Na:Tumain John Mtoto anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 5 mkazi wa mtaa Geita road kata ya…
5 February 2024, 5:04 pm
Mwizi wa kuku aua, atokomea kusikojulikana
Wananchi wataka sungusungu kurudishwa ili kukabiliana na vitendo vya uharifu pamoja na wizi wa kuku unaoendelea kutokea kata ya Sungamile Wilayani Sengerema. Na:Emmanuel Twimanye Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 40 ameuawa kwa kudaiwa kuchomwa na kisu na mtu anayedaiwa…
1 February 2024, 3:12 pm
37 wakutwa na kipindupindu Sengerema
Licha ya Serikali kutoa vifaa tiba na kinga vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 7 kwenye mikoa mitatu ya Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu pamoja na dawa za kutibu maji kwa kuua wadudu wenye vimelea…
30 January 2024, 2:32 pm
Mlinzi achinjwa na watu wasiojulikana usiku Sengerema
Matukio ya walinzi kuuawa mjini Sengerema yamekuwa yakijirudia mara kwa mara kila mwaka jambo hili limekuwa likihusishwa na imani za kishirikina pamoja na wivu wa kimapenzi. Na;Said Mahera Mtu mmoja anaesadikiwa kuwa ni mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya Mwasenda …
30 January 2024, 2:13 pm
Taka zarundikwa kwenye makazi ya watu mjini Sengerema
Mji wa Sengerema kwa mda mrefu umekuwa ukionekana kuwa na mrundikano wa uchafu kwenye vizimba vilivyopo mjini ambapo Halmashauri imekuwa ikitumia vibarua kuzizoa na baadhi yao wamekuwa wakitoa kwenye vizimba na kwenda kuzimwaga kwenye makazi ya watu. Na:Emmanuel Twimanye Wakazi…
27 January 2024, 8:26 pm
Milioni 147 zatumika ukarabati wa madarasa shule ya msingi Sengerema
Shule ya Msingi Sengerema ni miongoni mwa shule kongwe nchini ambayo ilikuwa ikikabiliwa na uchakavu wa miundombinu hasa vyumba vya madarasa jambo lililopelekea wadau mbalimbali kujitokeza na kuanza kusaidia ukarabati. Na;Emmanuel Twimanye. Shirika lisilisolikuwa la Kiserikali la Suport school Fees…
27 January 2024, 6:48 pm
Sengerema yapanda miti elfu 20 kumbukizi ya kuzaliwa SSH
Tarehe 27 ya Mwezi Januari kila mwaka tangu 1960 ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hasani, ambapo kwa mwaka huu 2024 anatimiza umri wa miaka 64 Na;…
23 January 2024, 9:42 pm
DC Sengerema ageuka mbongo murundikano wa uchafu mjini
Pamoja na kuwepo kwa taarifa za ugonjwa wa kipindupindu Nchini Madampo mjini Sengerema yanaonekana kujaa uchafu hali inayoleta wasiwasi kwa wananchi wakihofia kukumbwa na mlipuko wa ugonjwa huo. Na;Emmanuel Twimanye. Wafanyabishara wa soko kuu mjini Sengerema wameilalamikia Halmshauri ya Wilaya…