Sengerema FM

Recent posts

25 March 2024, 6:52 pm

Wanafunzi wachapwa viboko 75 kwa tuhuma za kufanya mapenzi shuleni

Kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu mwilini pamoja na vifo ni matukio mbalimbali yaliyotendwa na yanayoendelea kutendwa dhidi ya wanafunzi huku sababu kubwa ikihusisha adhabu ya viboko jambo la kusikitisha zaidi ni kuwa, utolewaji wa adhabu hizo haufuati taratibu, kanuni pamoja…

22 March 2024, 6:38 am

Chama cha Mapinduzi cha shinda udiwani Kata ya Buzilasoga Sengerema

Kata ya Buzilasoga ni miongoni mwa kata 22 za Tanzania bara ambazo tume ya uchaguzi ilitangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika kata hizo ambapo mgombea wa chama cha mapinduzi ndiye aliyetangazwa kuibuka mshindi kati ya wagombea wengine nane kutoka vyama tofauti.…

21 March 2024, 5:14 pm

TFS Sengerema yapanda miti kukabiliana na uharibifu wa mazingira

Kutokana na kuongezeka kwa changamoto ya mabadiliko ya tabianchi duniani jamii imezidi kuhimizwa kupanda na kutunza misitu ili kusaidia kupunguza hewa ya ukaa inayotajwa kutesa dunia ya sasa. Na: Elisha Magege Jamii imetakiwa kupanda miti kwenye maeneo ya wazi ili…

14 March 2024, 3:51 pm

Mitishamba chanzo cha vifo vitokanavyo na uzazi Sengerema

Vifo vitokanavyo na uzazi wilayani Sengerema vimekuwa vikitajwa kuongezeka kutokana na mwitikio mdogo wa akinamama wajawazito kuhudhuria kliniki kwa wakati na matumizi ya dawa za kienyeji. Na:Elisha Magege Matumizi ya dawa za kienyeji yatajwa kuwa chanzo cha vifo vya akinamama…

14 March 2024, 3:20 pm

Yusuph Hodari akutwa amefariki uwanjani Sengerema

Jeshi la polisi wilayani Sengerema limefika eneo la tukio na kuchukua mwili wa marehemu Yusuph Hodari aliyekutwa amefariki dunia eneo la Mnadani, kisha kuupeleka katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema kwa ajili ya uchunguzi zaidi. Na:Emmanuel Twimanye Mtu mmoja…

13 March 2024, 7:09 pm

Fisi aua mtoto wa miaka 9, ajeruhi mwingine Sengerema

Matukio ya watoto kushambuliwa na fisi wilayani Sengerema yamezidi kushamili maeneo mbalimbali ambapo akizungumza katika Baraza la Madiwani hivi karibuni Diwani wa kata ya Chifunfu Robert Madaha alidai kuwa fisi waliopo Sengerema wanamilikiwa na watu kwani wana majina na namba…

11 March 2024, 6:03 pm

CCM yazindua kampeni za udiwani Sengerema

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitangaza Uchaguzi Mdogo wa Madiwani Kata 23 Tanzania Bara, ukitarajiwa kufanyika tar 20 Machi 2024 Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Bw. Kailima, R. K jijini Dodoma tar15…

7 March 2024, 10:33 pm

Amuua kwa madai ya kugoma kurudiana nae

Matukio ya wanadoa kutarakiana wakiwa wanapendana yamekuwa chanzo cha mauaji kwa wanawake kutokana na wanaume kushindwa kuvumilia hali hiyo, ambapo kwa wilaya ya Sengerema zaidi ya matukio matatu yametokea kwa mwaka huu. Na:Emmanuel Twimanye. Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka…

3 March 2024, 6:58 pm

Fisi Maria14 avuruga kikao cha madiwani Sengerema

Kufuatia kuwepo kwa changamoto ya wanyama fisi katika kata ya Chifunfu iliyopo Halmashauri ya Sengerema mkoani Mwanza Diwani wa kata hiyo Robert Madaha amelifikisha jambo hili kwenye kikao cha Baraza la Madiwani ambapo limeibua hisia mpya baada ya kuonekana baadhi…