Sengerema FM
Sengerema FM
21 March 2025, 7:07 am
Matukio ya ubakaji wilayani Sengerema yanazidi kushamiri ambapo taarifa inayozungumzwa ni ya mtoto mwenye umri wa miaka 10 anayedaiwa kubakwa na watu wawili kwa nyakati tofauti. Na,Emmanuel Twimanye Jeshi la Polisi Wilayani Sengerema mkoani Mwanza linawashikilia watu wawili akiwemo mwalimu…
17 March 2025, 5:22 pm
Tanzania imeazimisha miaka minne tangu rais wa awamu ya Tano Dr. John Pombe Magufuli afariki Dunia,ambapo baadhi ya wananchi na viongozi wamesema wataendelea kumuenzi kiongozi huyo kwa uchapa kazi wake uliokuwa umetukuka kwani alifanikiwa pakubwa kurejesha nidhamu kazini. Na,Emmanuel Twimanye…
15 March 2025, 1:59 pm
Kila Alhamis ya pili ya mwezi Machi Dunia huadhimisha Siku ya Figo ikiwa na lengo la kutoa elimu ya namna bora ya kutunza na kuepukana na magonjwa yanayoweza kuleta madhara makubwa kwa figo. Na John Sospiter. Wananchi wilayani Sengerema mkoani…
15 March 2025, 1:29 pm
Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Afya nchini Mh. Jenista Mhagama imetangaza kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa wa marburg, ambao ulitangazwa kuibuka nchini mwezi Januari 2025 katika halmashauri ya wilaya ya Bihalamulo mkoani Kagera. Na,Elisha Magege Kufuatia Serikali ya Jamhuri ya Muungano…
14 March 2025, 8:02 pm
Matukio ya ubakaji nchini yanazidi kushika kasi ambapo mzee mmoja mwenye umri wa miaka 56 amehukumiwa miaka 30 kwa kosa la kumbaka mjukuu wake wa miaka 13, baada ya mke wake kusafiri. Na,Emmanuel Twimanye Mahakama ya Wilaya Sengerema Mkoani Mwanza…
14 March 2025, 7:44 pm
Ili kuboresha huduma ya upatikanaji wa maji safi mjini Sengerema Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (SEUWASA) imekabidhi pikipiki 5 kwa watumishi wa idara ya Ufundi na huduma kwa mteja wa mamlaka hiyo. Na,Emmanuel Twimanye Watumishi wa Mamlaka…
4 March 2025, 8:41 pm
Bibi amfanyia ukatili mjukuu wake kwa kumumwagia chai ya moto sehemu mbalimbali za mwili wake baada ya kuchelewa kurudi nyumbani kutoka sokoni alikokuwa amemuagiza kwenda kuuza sambusa. Na Emmanuel Twimanye Mtoto mwenye umri wa miaka 14 katika Mtaa wa Misheni Wilayani…
1 March 2025, 6:44 pm
Wananchi wameonyesha kufurahia baada ya mikopo ya asilimia kumi kurejeshwa huku wakidai wameumizwa sana na kausha damu baada ya serkali kusitisha mikopo hiyo kwa vijana,wanawake na wenye ulemavu. Na,Elisha Magege Halmashauri ya Sengerema imetoa mafunzo ya siku moja ya namna…
1 March 2025, 6:24 pm
Matukio ya watu kubaka na kulawiti yameoonekana kushika kasi wilayani Sengeremma ambapo mtu mmoja amehukumiwa miaka 30 kwa kumbaka mtoto wwa miaka 6 wilayani hapo. Na,Emmanuel Twimanye Mkazi wa Kijiji cha Kijiweni, Wilaya Sengerema, mkoani Mwanza, Masele Maganga (42) amehukumiwa…
28 February 2025, 6:46 pm
Waganga wa kienyeji wamekua na tabia ya kufanya mapenzi na wagonjwa wao jambo ambalo limepingwa na viongozi wa chama wa CHAWATIATA kuwa nii kosa na si maadili ya kazi hiyo. Na,Emmanuel Twimanye Wagaga wa tiba asili Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza …
Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema
Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa