

27 September 2024, 6:31 pm
Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Sengerema ameendelea kutoa elimu ya uchaguzi wa serkali za mitaa kwa makundi mbalimbali katika jamii,uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Nov 27 mwaka huu nchini Tanzania. Na:Elisha Magege Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Sengerema Haji Juma…
26 September 2024, 8:54 pm
Wananchi Halmashauri ya Buchosa wametakiwa kujitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika November 27 mwaka huu nchini. Hayo yamebainishwa na msimamizi wa uchaguzi halmashauri hiyo Bwn. Benson Mihayo, ambapo amesema kuwa…
26 September 2024, 3:50 pm
Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Sengerema amewataka wananchi kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, kwa ajili ya uchaguzi wa serkali za mitaa mwezi Novemba mwaka huu. Na:Tumain John Wananchi Halmashauri ya Sengerema Mkoani Mwanza wametakiwa kujitokeza kuchukua fomu za kugombea…
25 September 2024, 8:26 am
Kufuatia kuwepo kwa matukio ya mauaji na utekaji wa watoto nchini, baadhi ya wazazi au walezi wamekuwa na tabia ya kutelekeza watoto mtaani nyakati za usiku na baadaye kulalamika kuwa watoto wao wametekwa na wasiojulikana. Na:Emmanuel Twimanye Mtoto anaye kadiliwa…
24 September 2024, 8:33 pm
Shule ya msingi Mayuya ni miongoni mwa shule zilizokuwa zikifanya vibaya kwenye mitihani yake kutokana na uhaba wa vitendea kazi kwa walimu pamoja na miundombinu iliyokuwepo kuchakaa, jambo lililomlazimu diwani wa kata hiyo kuchukua hatua ya kuanza kuboresha miundombinu ya…
19 September 2024, 1:38 pm
Jumuiya ya umoja wa wanawake CCM (UWT) Wilaya ya Sengerema imefanya uchaguzi wa kumpata mwenyekiti mpya kufuatia kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Jane Msoga aliyefariki Dunia April 30, 2024 wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Mkoa wa Mwanza, Sekou…
17 September 2024, 7:01 pm
Halmashauri ya Sengerema inatarajia kuupokea Mwenge wa Uhuru tar 07/10 ukitokea Halmashauri ya Buchosa na kuukabidhi Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe tarehe 08 Oktoba, 2024. Na;Elisha Magege Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana amekagua jumla ya miradi saba itakayopitiwa…
14 September 2024, 3:27 pm
Wasitafu wengi nchini wamekua wakijikuta wakiishi maisha magumu licha ya Serkali kuwalipa kiinua mgongo,huku baadhi yao wakitajwa kutumia pensheni zao kwa anasa za Dunia. Na Emmanuel Twimanye. Wazee wastaafu wilayani Sengerema mkoani Mwanza wametakiwa kuacha kutumia pensheni zao kwa anasa badala…
13 September 2024, 7:07 am
Kufuatia kuwepo kwa matukio ya utekaji na mauaji ya raia nchini Tanzania viongozi wa Dini wazidi kuhimiza Waatanzania kila mmoja kwa imani yake kuliombea taifa ili Mungu atuepushe na majanga hayo. Na;Emmanuell Twimanye Wananachi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wametakiwa kuliombea…
12 September 2024, 3:27 pm
Halmashauri ya Sengerema inakadiliwa kuwa na jumla ya Mifugo 108,758 ambapo mifugo hii huchangia kwenye pato la mtu mmoja mmoja pia kuzalisha maligafi za viwandani na ajira kwa wananchi wilayani hapo. Na;Elisha Magege Halmashauri ya Sengerema imezindua kampeni ya uogeshaji…
Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema
Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa