Sengerema FM
Sengerema FM
3 June 2025, 3:26 pm
Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha kwa baadhi ya maeneo nchini Tanzania, mashimo na madimbwi yamejaa maji jambo linaloweza kusababisha maafa kama watoto watacheza kwenye maeneo hayo,na katika wilaya ya Sengerema mtoto mmoja amefariki baada ya kuzama kwenye dimbwi lililokuwa na maji.…
21 May 2025, 7:10 pm
Mei 20 2025 nchini Tanzania ilienea taarifa ya udukuzi kwenye mitandao ya kijamii ya baadhi ya tasisi za kiserikali na za watu binafsi,jambo lililowaimbua wataalamu wa mitandao nchini kuitaka jamii ya watanzania kuwa makini na mitandao hasa kipindi hiki cha…
19 May 2025, 8:40 pm
Waziri mkuu akizungumza na wananchi mjini Sengerema wakati wa ziara yake ya kikazi wilayani hapo.Picha na Elisha Magege Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa wa Mwanza uhakikishe unakamilisha uchunguzi wa watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Sengerema wanaodaiwa kuhusika na…
12 May 2025, 7:57 pm
Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema kinaendelea na oparesheni yake ya No reform No eleections,ambapo tayari imeshaanza kanda ya victoria yenye mikoa ya Kagera,Geita na Mwanza. Na Emmanuel Twimanye Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) bara John…
10 May 2025, 6:42 pm
Kufuatia kukithiri kwa ajali za barabarani nchini Chuo cha udereva cha Nyota Kilichopo jijini mwanza kimeanzisha darasa la udereva linalotembea, ambapo kimekita kambi wilaya ya Sengerema kufundisha udereva na sheria za usalama barabarani. Na.Elisha Magege Vijana wanao endesha vyombo vya…
30 April 2025, 6:49 pm
Tume huru ya taifa ya uchaguzi (INEC) imetangaza siku saba za wananchi kuboresha taarifa za mpiga kura katika jimbo la Sengerema, mkoani Mwanza. Na,Elisha Magege Afsa mwandikishaji jimbo la Sengerema Binuru Mussa Shekidele amewataka maafsa uandikishaji wanaotarajia kwenda kuanza kuboresha…
8 April 2025, 8:54 pm
Katika kuhakiki mazingira ya uvuvi ndani ya Ziwa Victoria yanazidi kuimarika serikali ilitoa mkopo kupitia Bank ya Kilimo kwa wavuvi kuanzisha vikundi vya ufugaji wa Samaki, ambapo tayari vikundi kutoka Halmashauari ya Buchosa mkoani Mwanza vimeanza kuvuna samaki hao. Na;Elisha…
25 March 2025, 8:58 pm
Kwa sasa sehemu ya barabara ya ushoroba wa ziwa Victoria kutoka Sirari mpani mwa Tanzania na Kenya na Mtukula mpakani mwa Tanzania na Uganda imepita eneo la Kigongo Busisi ambapo imeunganishwa kwa kutumia vivuko vikubwa vitatu vya MV Mwanza, MV…
25 March 2025, 8:23 pm
Ujenzi wa meli kubwa zaidi ndani ya Ziwa Victoria itakayofanya safari zake kati ya Bandari ya Mwanza Kaskazini, Kemondo, Kenya na Uganda, umefikia asilimia 96 huku ikiwa na uwezo wa kubeba abiria 1,200, tani 400 za mizigo, magari madogo 20…
21 March 2025, 7:31 pm
Kila mwaka Machi 22 huwa ni Siku ya Maji ambayo huadhimishwa kimataifa kutokana na na Azimio Na. 47/193 la Umoja wa Mataifa (UN), ambapo Wakala wa Maji Vijijini RUWASA wialayani Sengerema umetoa msaada kwa wafungwa na kupanda miti kwenye vyanzo…
Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema
Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa