Sengerema FM
Sengerema FM
20 November 2025, 11:36 am
Kwa mujibu wa taarifa zilizokusanywa na Radio Sengerema hivi karibuni matukio ya watu kujiua yanaonesha kuongezeko kwa kasi katika wilayani Sengerema. Na.Emmanuel Twimanye Wananchi Wilayani Sengerema mkoani Mwanza, wametakiwa kuwa na hofu ya Mungu na kuacha kuchukua maamuzi ya kujiua…
19 November 2025, 4:50 pm
Matukio ya watu kujiua wilayani Sengerema yanazidi kuripotiwa, huku chanzo kikiwa bado hakijulikani Na.Said Mahera Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa majina ya Deusdetith Babila mkazi wa mtaa wa geita road kata ya nyatukala amekutwa amefariki dunia katika bwawa liliopo mtaa wa…
26 October 2025, 8:42 pm
Zaidi ya wasimamizi wakuu na wasaidizi wa vituo vya kupigia kura 1,950 wanatarajia kwenda kusimamia vituo 650 vya kupigia kura katika jimbo la Sengerema wamekura kiapo cha uadilifu ili kutekeleza jukumu la uchaguzi mkuu jimbo la Sengerema. Na Mwandishi wetu…
22 October 2025, 6:51 pm
Kampeni kuelekea uchaguzi mkuu zinaendelea maeneo mbalimbali ya nchi ambapo wagombea watoa ahadi ili wachaguliwe october 29 2025 Na,Mwandishi wetu Mgombea ubunge jimbo la Buchosa kwa chama cha Sauti ya umma (SAU) Bi.Consolatha Cleophance Mtalyantula ameahidi kutatua changamoto za barabara…
12 October 2025, 5:02 pm
Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025 chama cha CHAUMMA kimeendelea na kampeni zake za kusaka kura kwa wananchi, kwa kuelezea sera na irani ya chama hicho. Na,Mwandishi wetu Mgombea ubunge jimbo la Buchosa kupitia chama cha Ukombozi wa umma (CHAUMMA) Ester…
16 August 2025, 7:54 pm
Licha ya kuwa na mradi mkubwa wa maji wenye thamani zaidi ya Tsh.Bil 22 Wilaya ya Sengerema imekuwa na changamoto ya kukosa maji mara kwa mara hasa kwenye maeneo ya miinuko bila kutolewa ufafanuzi kwa wananchi. Na,Peter Marlesa Wananchi Wilayani…
5 August 2025, 12:18 pm
Ikiwa vyama vya siasa nchini vinaendelea na zoezi la kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwemo Udiwani,Ubunge na Urais Tume ya uchaguzi nayo inaendelea na zoezi la kuratibu wasimamizi wa uchaguzi nganzi za Kata na Jimbo. Na;Emmanuel Twimanye Wasimamizi wa uchaguzi…
5 August 2025, 12:00 pm
Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania (TCRA) Kanda ya ziwa imewataka watanzania kuwa makini na taarifa za kimtandao hasa taarifa za uongo. Na.Peter Marlesa Ungana na Peter Marlesa akiwa na Belenadetha Mathayo Afsa kutoka TCRA kanda ya Ziwa, akifafanua kwa Watanzania…
31 July 2025, 3:34 pm
Wivu wa mapenzi umemusababishia Bwn. Bagandosa kusakwa na jeshi la polisi baada ya kumuua mwanaume anayedaiwa kuwa mchepuko wa mke wake, na kutokomea kusiko julikana. Na;Emmanuel Twimanye Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, linamsaka Bagandosa Silas Menelo, kwa tuhuma za…
30 July 2025, 10:05 am
Shirika la Under the Same sun kwa kushirikiana na tasisi ya Village of Hop (VOH) wamefanya kumbukizi ya kuwakumbuka watu wenye ualbino waliouawa na kukatwa viungo vyao nchini, tukio hilo limefanyika mjini Sengerema kwenye mnala wa nithamini ulio na majina…
Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema
Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa