Sengerema FM

Recent posts

3 November 2023, 6:44 pm

Ahukumiwa miaka30 kwa kumbaka mwanae.

Mtukio ya ukatiri wa kijinsia yamekuwa yakijitokeza katika familia nyingi wilayani Sengerema huku baadhi yao wakiyafumbia macho jambo linalo hatarisha na kusababisha kuendelea kushamili kwa matukio hayo. Na;Joyce Rollingstone. Mkazi wa kijiji cha Nyamizeze Wilayani Sengerema mkoani Mwanza,Samson Paschal Mibulo…

1 November 2023, 5:20 pm

Wananchi walia kutelekezwa eneo la stend Sengerema

Ikumbukwe kuwa kwenye mkutano wa Mkuu wa wilaya ya Sengerema Mh. Senyi Ngaga uliofanyika katika eneo la ujenzi wa shule ya sekondari Nyampulukano mwezi Mei mwaka huu ,Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Sengerema Binuru Shekidele aliwaahidi wananachi kuwa stendi hiyo…

31 October 2023, 8:55 pm

Wazazi watakiwa kufuatilia mienendo na malezi ya watoto wao

Wazazi na walezi wilayani Sengerema mkoani Mwanza wanatajwa kujali zaidi shughuri zao binafsi na kuonyesha kulitegea mgongo suala la malezi kwa watoto, huku wenginge wakiwaachia watoto kuwalea watoto wenzao. Na:Emmanuel Twimanye. Wazazi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza  wametakiwa   kutimiza jukumu la…

30 October 2023, 9:10 pm

Azua taharuki akidhaniwa kuwa mchawi kanisani

Matukio ya watu kudhaniwa kuwa wachawi yamezidi kushika kasi wilayani Sengerema ambapo mwanzoni mwa mwaka huu 2023 wanawake wanne waliodhaniwa kuwa ni wachawi walikamatwa eneo la Mwabaruhi mjini Sengerema. Na:Emmanuel Twimanye. Katika hali isiyokuwa ya kawaida , Mwanamke anayekadiriwa kuwa…

30 October 2023, 9:02 pm

Wazazi walalamikiwa kushindwa kulipa Ada za watoto wao

Shule ya Sekondari Ntunduru imekuwa ikifanya vizuri tangu kuanzishwa kwake mwaka 2004, ambapo kwa mwaka huu 2023 jumla ya wahitimu 70 wanatarajia kufanya mtihani wa kidato cha nne wakiwa wasichana 37 na wavulana 33. Na:Joyce Rollingstone. Shule ya sekondari ntunduru…

25 October 2023, 6:54 pm

Taka zazua taharuki kwa wakazi wa Mission Sengerema

Kwa muda mrefu sasa Halmashauri ya Sengerema imekuwa ikikabiliwa na changamoto la murundikano wa taka kwenye vizimba vya taka vilivyopo maeneo mbalimbali mjini, jambo hili limepelekea baadhi ya wafanya usafi kuzoa kwenye vizimba na kwenda kuzitelekeza kwenye makazi ya waatu…

23 October 2023, 11:55 am

Amuua kaka yake kisa shamba la urithi

Matukio ya mauaji ya watu wakigombea mali za urithi yameshamiri kwa mikoa ya Kanda ya ziwa hasa yakiwahusisha ndugu wa karibu, ambapo wananchi wamelimba jeshi la polisi kwa kushirikiana na asasi za Kiraia wanalojukumu la kuzidi kutoa elimu zaidi dhiidi…

17 October 2023, 2:26 pm

Wazazi washauriwa kuanzisha ujenzi wa hosteli

Shule ya sekondari Kijuka imeanzishwa mwaka 2012 kwa nguvu ya wananchi na serikali ambapo tangu kuanzishwa imekuwa ikifanya vibaya kitaaluma kutokana na wanafunzi kutembea umbali mrefu na kwa mwaka huu 2023 wamehitimu wanafunzi 42 kati ya wanafunzi 88 walioanza kidato…