Sengerema FM

CHAWATIATA: Muganga wa tiba asili tukikukuta na mgonjwa wa Marburg tunakukamata

27 February 2025, 11:28 am

Mwenyekiti CHAWATIATA Mkoa wa Mwanza Bwn. Shaban Ramadhani Kihanzo akizungumza kupitia kipindi cha Safari Mseto Radio Sengerema.Picha na Elisha Magege

Tangu kuripotowa kwa homa ya marburg wilayani Biharamulo mkoani Kagera kumekuwepo na tabia za baadhi ya familia kukimbilia kwa waganga wa tiba za asili, jambo ambalo linatajwa kuwa ni hatari zaidi na linaweza pelekea kuenea zaidi kwa ugonjwa huo.

Na,Elisha Magege

Jamii imetaikiwa kufika vituo vya afya kupima afya zao pindi wanapo hisi kuungua hasa kipindi hiki cha mulipuko wa homa ya Marburg nchini.

Elisha Magege amefanya mahojiano na Mwenyekiti wa chama cha waganga na wakunga wa tiba asili Tanzania (CHAWATIATA) Mkoa wa Mwanza Bwn. Shaban Ramadhani Kihanzo, Kwanza akitaka kujua ni nini wito wa CHAWATIATA kwa jamii ya watu wa Mwanza kuhusu uwepo wa ugonjwa wa Marburg mkoa jilani wa Kagera?

Ni Elisha Magege akikamilisha mahojiano na Mwenyekiti CHAWATIATA Mkoa wa Mwanza kuhusu Marburg.