

11 September 2024, 8:12 pm
Matukio ya vijana kujinyonga wilayani Sengerema yanazidi kushika kasi huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi na ugumu wa maisha. Na;Emmanuel Twimanye Kijana mwenye umri wa miaka 34 aliyefahamika kwa jina la Faustine Malima amefariki Dunia kwa kujinyonga chumbani…
10 September 2024, 5:50 pm
Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Sengerema (FDC) ni miongoni mwa vyuo vikongwe nchini vya maendeleo ya wananchi na kimekuwa kikipokea wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini. Na:Emmanuel Twimanye Mwanafunzi wa chuo cha Maendeleo ya Wananachi Sengerema (FDC) kilichopo wilayani Sengerema mkoani…
8 September 2024, 2:34 pm
Katika kuadhimisha kutimiza miaka 105 ya Jeshi la Polisi Tanzania, jeshi hilo limejipanga kutoa elimu na msaada kwa jamii . Na;Elisha Magege Jeshi la polisi wilayani Sengerema limetoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto yatima cha bustani…
6 September 2024, 1:40 pm
Wilaya ya Sengerema ni miongoni mwa wilaya inayozalisha chakula kwa wingi kanda ya ziwa na hujiingizia mapato mengi kupitia sekta hiyo pia imetoa ajira nyingi kwa wakazi wa wilaya hiyo kutokana na kukeza kwenye kilimo cha bustani kwani wilaya hiyo…
20 August 2024, 12:13 pm
Tume huru ya uchaguzi nchini inatarajia kuanza zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura kwa mikoa ya Mwanza na Shinyanga tar21/08/2024 Na:Emmanuel Twimanye Maafisa uandikishaji wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura katika Jimbo la Sengerema…
31 July 2024, 7:54 pm
Mwenyekiti wa mtaa wa Geita Road Kata ya Nyatukala Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza Bwn, Pelana Bagume amehudumu kwa takribani mihula minne akiwa kiongozi wa mtaa huo na wananchi wameendelea kumuamini kutoka na utendaji kazi wake. Na;Emmanuel Twimanye Mwenyekiti wa mtaa…
30 July 2024, 3:27 pm
Tarehe 30 Julai,na mara zote kila mwaka huwa ni Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu, uhalifu wa kutisha na mashambulizi kamili dhidi ya haki, usalama na utu wa binadamu. Na:Elisha Magege Ili kukabiliana na wimbi la…
29 July 2024, 7:59 am
Matukio ya watu kujeruhiwa na wanyama wakali wanaoishi majini yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara kwa wakazi wanaoishi kadokando na kufanya kazi ndani ya Ziwa Victoria ambapo wamekuwa wakiiomba Serikali kupitiwa TAWA kuongeza juhudi za kuwawida wanyama hao hasa Kiboko na…
25 July 2024, 11:38 am
Mbunge wa Jimbo la Sengerema Hamis Tabasam amekutana na changamoto hiyo katika ziara yake kata ya Sima, ambapo mwenyekiti wa kijiji hicho anatuhumiwa kutafuna fedha za mradi wa shamba la kijiji.Na:Emmanuel TwimanyeMwenyekiti wa kijiji cha Sima wilayani Sengerema Bahati Muhangwa…
24 July 2024, 5:23 pm
Halmashauri ya Sengerema inatarajia kukamilisha ujenzi wa shule 11 mwakani na kuwa na jumla ya shule za Sekondari 46 waipongeza serikali ya awamu ya Sita Na:Elisha Magege Shule 11 mpya za Sekondari zinatarajiwa kukamilika mwezi Agosti mwaka huu na kuanza…
Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema
Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa