Sengerema FM

Recent posts

5 December 2023, 6:56 pm

Fisi wavunja mlango, watokomea na mbuzi saba wa familia moja Sengerema

Matukio ya fisi kushambulia mifugo na binadamu yameendelea kushika kasi wilayani Sengerema licha ya jitihada za serikali  na mamlaka za wanyamapori kukabiliana na wanyama hao lakini bado fisi na mamba imekuwa tishio. Na:Emmanuel Twimanye Kundi la fisi limevamia kwa mkazi…

2 December 2023, 11:14 am

Zaidi ya watoto 100,000 Sengerema kupatiwa matone ya vitamini A

Halmashauri ya Sengerema inatarajia kutoa matone ya Vitamin A pamoja na dawa za kutibu minyoo ya tumbo kwa watoto wasio pungua 100,285 wenye umri chini ya miaka 5 ambayo yameambatana na tathimini ya hali ya lishe. Na;Deborah Maisa. Zaidi ya…

14 November 2023, 8:54 am

Mkurugenzi Sengerema aanza kutekeleza Agizo la Paul Makonda

Stendi ya Mwembe yanga ilikuwa msaada mkubwa kwa wananchi kutoka halmashauri ya Buchosa na Geita vijijini kwani hapo awali walikuwa wakiitumia stendi hiyo wanapokuja mjini Sengerema jambo ambalo liligeuka na kuleta changamoto kwa takribani mwaka mmoja baada ya kufunguliwa kwa…

3 November 2023, 6:44 pm

Ahukumiwa miaka30 kwa kumbaka mwanae.

Mtukio ya ukatiri wa kijinsia yamekuwa yakijitokeza katika familia nyingi wilayani Sengerema huku baadhi yao wakiyafumbia macho jambo linalo hatarisha na kusababisha kuendelea kushamili kwa matukio hayo. Na;Joyce Rollingstone. Mkazi wa kijiji cha Nyamizeze Wilayani Sengerema mkoani Mwanza,Samson Paschal Mibulo…

1 November 2023, 5:20 pm

Wananchi walia kutelekezwa eneo la stend Sengerema

Ikumbukwe kuwa kwenye mkutano wa Mkuu wa wilaya ya Sengerema Mh. Senyi Ngaga uliofanyika katika eneo la ujenzi wa shule ya sekondari Nyampulukano mwezi Mei mwaka huu ,Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Sengerema Binuru Shekidele aliwaahidi wananachi kuwa stendi hiyo…

31 October 2023, 8:55 pm

Wazazi watakiwa kufuatilia mienendo na malezi ya watoto wao

Wazazi na walezi wilayani Sengerema mkoani Mwanza wanatajwa kujali zaidi shughuri zao binafsi na kuonyesha kulitegea mgongo suala la malezi kwa watoto, huku wenginge wakiwaachia watoto kuwalea watoto wenzao. Na:Emmanuel Twimanye. Wazazi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza  wametakiwa   kutimiza jukumu la…

30 October 2023, 9:10 pm

Azua taharuki akidhaniwa kuwa mchawi kanisani

Matukio ya watu kudhaniwa kuwa wachawi yamezidi kushika kasi wilayani Sengerema ambapo mwanzoni mwa mwaka huu 2023 wanawake wanne waliodhaniwa kuwa ni wachawi walikamatwa eneo la Mwabaruhi mjini Sengerema. Na:Emmanuel Twimanye. Katika hali isiyokuwa ya kawaida , Mwanamke anayekadiriwa kuwa…

30 October 2023, 9:02 pm

Wazazi walalamikiwa kushindwa kulipa Ada za watoto wao

Shule ya Sekondari Ntunduru imekuwa ikifanya vizuri tangu kuanzishwa kwake mwaka 2004, ambapo kwa mwaka huu 2023 jumla ya wahitimu 70 wanatarajia kufanya mtihani wa kidato cha nne wakiwa wasichana 37 na wavulana 33. Na:Joyce Rollingstone. Shule ya sekondari ntunduru…

25 October 2023, 6:54 pm

Taka zazua taharuki kwa wakazi wa Mission Sengerema

Kwa muda mrefu sasa Halmashauri ya Sengerema imekuwa ikikabiliwa na changamoto la murundikano wa taka kwenye vizimba vya taka vilivyopo maeneo mbalimbali mjini, jambo hili limepelekea baadhi ya wafanya usafi kuzoa kwenye vizimba na kwenda kuzitelekeza kwenye makazi ya waatu…