Sengerema FM
Sengerema FM
5 August 2025, 12:00 pm

Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania (TCRA) Kanda ya ziwa imewataka watanzania kuwa makini na taarifa za kimtandao hasa taarifa za uongo.
Na.Peter Marlesa
Ungana na Peter Marlesa akiwa na Belenadetha Mathayo Afsa kutoka TCRA kanda ya Ziwa, akifafanua kwa Watanzania wakazi wa kanda ya Ziwa kuhusu kampeni ya (FUTA,DELITI KABISA) kwenyekipindi maalumu
