Recent posts
26 December 2024, 10:52 am
Prof. Lyala asherehekea Krismas na wafungwa Magu
Wakirsto ulimwenguni kote husherekea sikukuu ya kuzaliwa bwana yesu Kristo kila mwaka tar 25,ambapo pia hufanya matendo mbalimbali ya hisani kwa jamii. Na,Elisha Magege Prof.Edwinus Chrisantus Lyaya amekabidhi kitoweo cha Ng’ombe kwa wafungwa katika Gereza la Magu ili washerekee sikukuu…
24 December 2024, 9:50 pm
Prof. Lyaya atoa msaada kwa wagonjwa Mwanza
Katika kuelekea sikukuu za mwisho wa Mwaka watu mbalimbali hujitolea misaada kwa wahitaji kama sehemu ya ibaada na kumbukumbu kwa jamii inayo wazunguka. Na;Elisha Magege Jamii imetakiwa kujitoa na kusaidia wenye uhitaji wakiwemo wagonjwa, wafungwa na wenye mahitaji maalumu hasa…
19 December 2024, 4:35 pm
Sotta Mining Sengerema kuanza ujenzi January 2025
Mradi wa uchimbaji mkubwa wa dhahabu uliopo Nyanzaga-Sengerema unatarajiwa kuanza kazi za awali za ujenzi wa mgodi ifikapo Januari, 2025. Na;Elisha Magege Wananchi wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazokuja kutokana na mgodi wa Sotta Mining Ltd unaotarajia…
9 December 2024, 8:19 pm
TFS yahimiza kutunza mazingira kwa kupanda miti
Maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara kiwilaya Sengerema yamefanyika shule ya Msingi Lumeya katika halmashauri ya Buchosa ambapo miti 2000 imepandwa kama kumbukumbu ya maadhimisho hayo mwaka huu. Na;Emmanuel Twimanye Wakala wa Huduma za Mistu Tanzania (TFS)…
9 December 2024, 2:42 pm
Sengerema imepanda miti 500 kumbuukumbu ya miaka 63 ya uhuru
Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961 kutoka kwa mkoloni mwingereza, ikikabbidhiwa kwa mwl. julius K.Nyerere akiwa kama waziri mkuu wa kwanza mtanganyika na badae rais wa kwanza wa taifa hilo,na leo imetimia miaka 63 tangu kupatikana kwa uhuru huo. Na;;Elisha Magege…
8 December 2024, 10:14 pm
Kuelekea miaka 63 ya uhuru Sengerema yafanya usafi hospitali ya wilaya
Hivi karibuni waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alielekeza maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania yafanyike Kwa ngazi za Mikoa na Wilaya, kwa kufanya shughuli za kijamii zikiwemo upandaji miti, usafi wa mazingira katika maeneo ya kijamii…
26 November 2024, 2:59 pm
Mamlaka ya mji mdogo Sengerema kurejea Chadema wakishinda uenyeviti
Kampeni za uchaguzi Serikali za mitaa Mwaka huu 2024 zimeshuhudiwa kuwa na amani bila vurugu yoyote katika halmashauri ya Sengerema huku vyama vyote vikitangaza neema kwa wananchi endapo vitachaguliwa. Na;Elisha Magege Mgombea uenyekiti kitongoji mjini kati kupitia Chadema Nuru Lutembeja…
13 November 2024, 9:11 pm
Kijana ajikuta mikononi mwa polisi kwa kutaka kuoa kwa njia ya udaganyifu
Kijana mmoja aliye jitosa kutaka kuoa amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kukosa mahali na kutaka kumraghai binti amutoroshe, nje na makubaliano na wazazi wake. Na;Emmanuel Twimanye Kijana anayedaiwa kufanya ulaghai wa kumuoa binti kwa njia ya udaganyifu katika kitongoji cha kizugwangoma …
13 November 2024, 8:17 pm
Upepo wa ajabu wavuma na kuangusha kanisa Sengerema
Katika hali isiyo ya kawaida waumini wa kanisa la TEF kwa Neema lililopo katika kitongoji cha Mkomba kijiji cha Busisi, wamejikuta wakiabudia nje baada ya upepo kuvuma ghafla na kudondosha jengo la kanisa lao usiku. Na;Emmanuel Twimanye Katika hali isiyokuwa…
29 October 2024, 9:08 am
Vyombo vya habari vyatakiwa kufuata sheria kuandaa maudhui ya uchaguzi
Serikali na wadau wameendelea kutoa elimu kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu, huku wananchi wakitakiwa kujitokeza kuchagua viongozi watakao wafaa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Na;Elisha Magege Vyombo vya Habari nchini vimatakiwa kufuata sheria, kanuni na miongozi…