Orkonerei FM

Recent posts

14 August 2024, 12:49 pm

Ole Sendeka ateta na wananchi, awaondolea hofu

Mbunge Christopher Ole Sendeka Picha na Evanda Barnaba Na mwandishi wetu Mmoja wa wakaazi katika kata ya Terrat wilayani Simanjiro mkoani Manyara alipata nafasi ya kuwasilisha kero ya barabara pamoja na swala la aridhi mbele ya Mbunge wa Simanjiro Chistopher…

9 August 2024, 1:24 pm

Ziara ya mbunge kukangua miradi ya maendeleo kata ya Teerat

Waandishi wetu Baraka Ole Maika Msafara wa Mbunge  Jimbo la  Simanjiro Mh Christopher Ole Sendeka umezuiliwa na wanananchi wa kijiji cha Loswaki kutokana na kero ya maji inayowakabili kuwa muda mrefu. Mwandishi wetu Baraka Ole Maika alizungumza na wananchi na…

9 August 2024, 1:24 pm

Justdiggit wazindua Kijani App kwa ajili ya Wakulima

Shirika lisilo la kiserikali la Justdiggit limezindua rasmi programu inayofahamika kama Kijani App ili kuwasaidia wakulima kupata taarifa sahihi kuhusu mabadiliko ya tabia nchi katika kutekeleza shughuli zao za kilimo ili kujiletea maendeleo. Na Baraka David Ole Maika. Akizungumza na…

30 July 2024, 3:34 pm

Maendeleo ya miundombinu Kata ya Terrati Simanjiro Mkoani Manyara

Diwani wa Kata ya Terrat bwana Jackson Materi picha na Isack Dickson Na Evanda Barnaba Ujenzi wa Barabara ya kuunganisha vijiji vya Terrat,Loswaki na Engonongoi bado unaendelea kusubiri mfumo wa serikali unaohusisha kutolewa kwa fedha mara baada ya mwaka wa…

26 July 2024, 4:12 pm

Makala: Maji safi na salama, athari za ukame Simanjiro

Na Waandishi wetu Simanjiro ni moja ya wilaya zinazokumbwa na changamoto kubwa ya ukame, ambayo imeathiri sana upatikanaji wa maji safi kwa wakazi wake. Ukame huu umesababisha vyanzo vingi vya maji kukauka na hivyo kuathiri maisha ya jamii za wafugaji…

26 July 2024, 11:47 am

Kiongozi wako anakabilije athari za kiuchumi zinazoletwa na ukame?

Nijuze Radio Show Kumekuwa na athari za kiuchumi zinazoletwa na ukame katika jamii mara kadhaa wa kadhaa mfano kwa wilaya ya Simanjiro kwa Mujibu wa Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Simanjiro Ndg Sendeu Laizer January 13 mwaka 2022…

24 July 2024, 2:37 pm

Mbinu bora za uhifadhi mazao ya chakula

Picha kwa msaada wa mtandao Na Evanda Barnaba Uhifadhi wa mazao ya chakula ni suala muhimu sana, hasa kwa wakulima na jamii zetu kwa ujumla. Mazao mengi yanaharibika baada ya mavuno kutokana na uhifadhi duni, jambo ambalo linaweza kusababisha upungufu…

Dira na Dhamira

DIRA:

Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari

DHAMIRA:

Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.

Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.

Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”