Orkonerei FM

Umuhimu wa elimu ya jinsia kwa njia ya asili

18 November 2025, 10:20 am

Picha msaada wa mtandao

Kurunzi maalum

Elimu ya kijinsia ni mchakato wa kujifunza na kupata maarifa, stadi na mitazamo sahihi kuhusu masuala yote yanayohusu jinsia ya binadamu. Sikiliza makala hii kwa elimu zaidi.

Lengo la msingi wa elimu ya jinsia ni kuwapa watu uwezo wa kufanya maamuzi yenye ufahamu na uwajibikaji kuhusu maisha yao ya jinsia na mahusiano, kuishi maisha yenye afya, usalama na heshima.

Sikiliza makala hapa chini