Orkonerei FM

Mwanamke unafanya shughuli gani za kuongeza kipato kipindi cha ukame?

17 July 2024, 2:40 pm

Wananchi wa kijiji cha Terrat wakiwa kwenye mkutano. Picha Isack Dickson

Kwenye jamii za kifugaji kuwa na shughuli nyingine ya kujiingizi kipato inakua ni ngumu kidogo,

Hii ni kwasababu jamii hizi mara nyingi zinategemea ufugaji pekee, na hii inapelekea kipindi cha ukame kuwa na kipato kidogo sana kwenye familia

Kwa mujibu wa ofisi ya taifa ya takwimu nbs inasema 25.6% ya wanawake waliokati ya umri wa miaka 15- 64 sawa na milioni 25.6 hawafanyi kazi yoyote ya kuwapatia kipato.

Ungana nasi kusikiliza makala hii ya nijuz radio show ambayo inakujia kila sku za Alhamiss saa 12;00 jioni na marudio ni saa ni mumamosi 10:30 asubuhi