Sengerema FM
Sengerema FM
28 March 2021, 2:40 pm
Mwananchi mmoja anayejulikana kwa jina Issa Mustapha amesafiri umbali wa zaidi ya kilomita 1,200,kutoka mkoani Dar es Salaam hadi wilayani Chato Mkoa wa Geita kwa kutumia bodaboda kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli. Akizungumza wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza…
28 March 2021, 1:28 pm
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuharakisha kesi, kuondoa kesi sizizo na msingi na za kubambikiwa ili kuondokana na idadi kubwa ya kesi ambazo Serikali…
28 March 2021, 12:53 pm
Akitoa Ripoti hiyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kicheere amesema CAG imeendelea kubaini dosari ya matumizi za fedha yanayofanywa na taasisi na mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa. CAG amesema kati ya hati…
27 March 2021, 12:30 pm
Hayo yamesemwa na paroko wa palokia ya Yesu kristo mfalme iliyopo mjini Sengerema Padre Henry Kibyabo katika misa maarumu ya kumuombea aliyekuwa rais ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati Dkt. John Pombe Magufuli iliyofanya kanisani hapo. Padre kibyabo amesema…
Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema
Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa