Sengerema FM
Sengerema FM
26 April 2021, 8:57 am
Waziri wa maji Jumaa aweso ameangiza kuwekwa ndani watumishi saba wa maji mkoa wa Mwanza kufatia kuwepo na utekelezaji mbovu wa miradi ya maji wilayani Sengerema. Waziri aweso amefikia uamzi huo baada ya kukuta miradi mingi ya maji haijakairika wilayani…
23 April 2021, 8:50 pm
Kocha msaidizi wa Simba sc Suleiman Matola amesema katika metch yao dhiidi ya Gwambina fc ya jijini Mwanza utakao chezwa hapo kesho katika uwanja wa Gwambina Misungwi utawahakikishia kuanza kukaa kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara. Akizungumza wa wandishi wa…
21 April 2021, 6:28 pm
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai ameagiza mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge, kurudi bungeni mara moja ili kuhudhuria hotuba ya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan hapo kesho. Spika ametoa maagizo hayo mapema…
21 April 2021, 10:29 am
Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, Anosta Nyamoga kupisha uchunguzi. Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Aprili 21, 2021 na kitengo cha mawasiliano serikalini imeeleza kuwa Ummy amechukua hatua hiyo baada…
20 April 2021, 4:06 pm
Taarifa iliyotolewa leo Aprili 20, 2021, Waziri Ummy Mwalimu amemusimamisha kazi Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya ya Sengerema, Magesa Boniphace kupisha uchunguzi baada ya kupokea malalamiko na tuhuma za ubadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo katika halmashauri hiyo kutoka…
17 April 2021, 3:43 pm
Kocha wa Mwadui Fc Salhina Mjengwa amesema amejipanga vilivyo kuikabilia klabu ya Simba sc kutoka jijini Dar es salaam katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakao chezwa siku ya jumapili ya tar18/04 mwaka huu katika uwanja wa Ccm kambarage…
15 April 2021, 6:51 pm
Jumla ya milioni hamsini na saba57,200,000/= zimetolewa kwa vikundi 40 vya wanawake wajasiliamali wilayani sengerema mkoani. Akizungumza na Redio Sengerema Mratibu wa mfuko wa wanawake Wilaya Bi.Noela Yamo amevitaja vikundi vilivyopewa mkopo ni pamoja na imani lelemama kutoka butonga,wanaufunuo kutoka…
15 April 2021, 9:32 am
Mkuu wa wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza Dr.Emmanuel Kipole amepokea mifuko mia moja ya saruji kutoka Bank ya Crdb kwa ajili ya ujenzi wa Shule mpya ya wasichana wilayani hapo. Akizungumza baada ya kukabidhi saruji hiyo Manager biarashara wa Crdb…
8 April 2021, 3:28 pm
Serikali imesema mashimo makubwa yote yaliyotokana na uchimbaji wa madini katika Mikoa ya Mara, Geita na Shinyanga yanapaswa kufukiwa ili kurejeshwa katika hali yake ya awali. Hayo yamebainishwa na leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa…
8 April 2021, 2:00 pm
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere ameisoma ripoti yake ya mwaka wa fedha 2020/21 mbele ya waandishi wa habari leo Aprili 8, 2021 jijini Dodoma na kubainisha baadhi ya taasisi zikiwemo wizara zilizofanya manunuzi nje…
Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema
Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa