

4 April 2021, 12:13 pm
Mzee Solomoni Elifuraha ni mwalimu mstaafu ambaye kafanya kazi na Hayati Dr. John Pombe Magufuli katika shule ya Senkondari Sengerema iliyopo mjini Sengerema Mkoani Mwanza. Akizungumza kwa masikitiko makubwa Mwl. Elifuraha amesema alizipokea kwa mashituko makubwa taarifa za kifo cha…
3 April 2021, 8:43 pm
Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika, baada kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya klabu ya AS Vital ya Kongo DRC, lakini pia mabingwa hao wa Tanznaia wamejihakikishia nafasi…
3 April 2021, 8:34 am
Kufatia malalamiko ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya Internet Nchini,baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye. Uamuzi huo ni habari njema kwa watumiaji wa mitandao ya simu…
2 April 2021, 11:53 am
Leo kanuni ndogo za gharama na tozo za vifurushi, utangazaji wa huduma na ofa maalumu imeanza kutumika Nchini ambapo wadau wameomba elimu izidi kutolewa juu ya kanuni hiyo mpya. Mwanzoni mwa mwezi uliopita, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania…
29 March 2021, 7:54 pm
Wafanyabiashara wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, wamlilia hayati Dkt John Pombe Magufuli huku wakidai kumuenzi kwa kufanya kazi. Wakizungumza wakiwa katika Soko la mnadani lililopo kata ya Nyampulukano wilayani Sengerema wafanya biashara hao wamesema kuwa katika kuendelea na maombolezo ya siku…
28 March 2021, 2:40 pm
Mwananchi mmoja anayejulikana kwa jina Issa Mustapha amesafiri umbali wa zaidi ya kilomita 1,200,kutoka mkoani Dar es Salaam hadi wilayani Chato Mkoa wa Geita kwa kutumia bodaboda kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli. Akizungumza wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza…
28 March 2021, 1:28 pm
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuharakisha kesi, kuondoa kesi sizizo na msingi na za kubambikiwa ili kuondokana na idadi kubwa ya kesi ambazo Serikali…
28 March 2021, 12:53 pm
Akitoa Ripoti hiyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kicheere amesema CAG imeendelea kubaini dosari ya matumizi za fedha yanayofanywa na taasisi na mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa. CAG amesema kati ya hati…
27 March 2021, 12:30 pm
Hayo yamesemwa na paroko wa palokia ya Yesu kristo mfalme iliyopo mjini Sengerema Padre Henry Kibyabo katika misa maarumu ya kumuombea aliyekuwa rais ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati Dkt. John Pombe Magufuli iliyofanya kanisani hapo. Padre kibyabo amesema…
Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema
Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa