

15 April 2021, 9:32 am
Mkuu wa wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza Dr.Emmanuel Kipole amepokea mifuko mia moja ya saruji kutoka Bank ya Crdb kwa ajili ya ujenzi wa Shule mpya ya wasichana wilayani hapo. Akizungumza baada ya kukabidhi saruji hiyo Manager biarashara wa Crdb…
8 April 2021, 3:28 pm
Serikali imesema mashimo makubwa yote yaliyotokana na uchimbaji wa madini katika Mikoa ya Mara, Geita na Shinyanga yanapaswa kufukiwa ili kurejeshwa katika hali yake ya awali. Hayo yamebainishwa na leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa…
8 April 2021, 2:00 pm
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere ameisoma ripoti yake ya mwaka wa fedha 2020/21 mbele ya waandishi wa habari leo Aprili 8, 2021 jijini Dodoma na kubainisha baadhi ya taasisi zikiwemo wizara zilizofanya manunuzi nje…
8 April 2021, 12:50 pm
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema ataikabidhi ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa kamati mbili za Bunge. Amezitaja kamati hizo kuwa ni Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) na Kamati ya Hesabu…
8 April 2021, 12:38 pm
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kagera John Joseph, amesema wanamshikilia mkufunzi mmoja wa chuo cha Kilimo Maruku, kilichopo katika wilaya ya Bukoba kwa tuhuma za kumuomba rushwa ya ngono mwanachuo mmoja wa kike…
8 April 2021, 12:11 pm
Kufuatia muamko wa wazazi kuhamasika kuchangia chakula shuleni hali iliyopelekea kuongezeka kwa ufaulu kwa wananfunzi katika halimashauri Buchosa. Afsa elimu Sekondari wa halimashauri hiyo Mwl. Buruno sangwa amewapongeza wazazi kwa kuhamasika katika utoaji wa chakula jambo lililopelekea kuongezeka kwa ufaulu…
6 April 2021, 6:14 pm
Afisa kilimo kata ya Nyatukala Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza Bi. Jonesia Joseph amewataka wakazi wa kata hiyo kutumia mvua zinazoendelea kunyesha katika kilimo ili kujipati chakula pamoja na kipato. Bi Jonesia ametoa kauli hiyo ofisini kwake nakusema kuwa kutokana…
4 April 2021, 11:32 pm
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassana amefanya uteuzi wa Makatibu wakuu wa Wizara, Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara na Wakuu wa Taasisi na Idara mbalimbali za serikali leo tarehe 4/4/2021
4 April 2021, 8:54 pm
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amewataka Watumishi wote wa Umma na Watanzania kufanya kazi kwa Bidii, Uadilifu na weledi pamoja na kumtanguliza Mwenyezi Mungu. Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mpango ameyasema…
4 April 2021, 8:08 pm
TIMU ya Namungo FC imepoteza mechi ya tatu mfululizo katika Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa 1-0 na Nkana FC ya Zambia jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Bao pekee la Nkana…
Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema
Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa