Sengerema FM

Recent posts

6 January 2022, 10:42 pm

Sengerema yakabidhi madarasa 129 ya uviko 19.

Jumla ya vyumba vya madarasa mia  moja na ishirini na tisa  vilivyojengwa kwa fedha za uviko 19 halimashauri ya wilaya ya Sengerema vimekamilika na kukabidhiwa kwa mkuu wa mkoa wa Mwanza tayali kusubilia wanafunzi kuanza masomo yao january17 mwaka huu.…

21 October 2021, 1:20 pm

Tanzania kuzidi kuwawezesha wanawake kimaendeleo.

Tanzania imeazimia kuendelea kuwawezesha wanawake katika nyanja mbalimbali ikiwemo katika Uongozi na uwezeshaji Wanawake Kiuchumi kupitia Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee…

16 October 2021, 1:26 pm

TARI-Ukiligulu waja na mbegu bora kukabiliana na magonjwa ya zao la mhogo.

Katika kupambana na magonjwa yanayolikabili zao la mhogo, Wakulima wa zao hilo kanda ya ziwa wameshauriwa kutumia mbegu bora inayozalishwa na taasisi ya utafiti TARI -UKILIGULU MWANZA, ambayo inastahimili magonjwa. Akizungumza na waandishi wa Habari Mtafiti upande wa mazao ya…

2 June 2021, 3:26 pm

Madalizi metch ya Simba sc vs Ruvushooting yakamilika Ccm kirumba.

Maandalizi ya mechi kati ya ruvushooting na Simba sc yakamilika katika uwanja wa ccm kirumba jijini Mwanza. Akizungumza na wandishi wa Habari katibu wa Shirikisho la mpira wa miguu mkoa wa mwanza (MZFA) Bwn.Leonard Malongo amesema madalizi ya metchi hiyo…

29 May 2021, 6:39 pm

Mbunge Tabasam akutana na kuzungumza na Wafanyabiashara Sengerema.

Mbunge wa jimbo la Sengerema Tabasam Hamis Mwagao amekutana na kufanya mazungumzo na wafanya biashara wa jimboni kwake kuhusiana na changamoto wanazokabiliana nazo. Baada kikoa hicho Tabasam ameahidi kushirikiana na wafanya biashara hao kutatua kero zinazowakabiri, huku akiiomba serikali kumuondoa…

26 May 2021, 8:41 pm

Kaya masikini elf6 kunufaika na Tasaf nchini.

Jumla ya kaya masikini elfu sita nchini zinatalajia kunufaika na mradi wa kunusuru kaya masikini TASAF awamu ya pili huku walengwa millioni moja laki nne na elfu hamsini watanufaika na mradi huo.Hayo yamebainishwa na Bwn Swaleh Mwidad mwakilishi wa mkurungezi…

21 May 2021, 4:47 pm

Mwauwasa yakabidhi mradi mkubwa wa maji mjini Sengerema.

Mamlaka ya maji  mjini mwanza  (MWAUWASA) wamekabidhi mradi wa maji kwa mamlaka ya maji mjini Sengerema  uliojengwa kwa kiasi cha zaidi billioni moja hadi kukamilika na unatarajia kunufaisha  watu elfu kumi uliopo katika kata ya Nyampande Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza.…

Mission and Vision

Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema

Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa