

5 July 2023, 1:54 pm
Kutokana na kuongezeka kwa matukio ya Fisi kushambulia watu na mifungo wilayani sengerema, hali hiyo imezua hofu, huku baadhi yao wakishindwa kufanya shughuli za maendeleo Na:Emmanuel Twimanye Mtoto mwenye umri wa miaka 5 aliyeshambuliwa na Fisi na kujeruhiwa sehemu mbalimbali…
5 July 2023, 11:51 am
Kufuatia baadhi ya watu katika jamiii kuamini imani za kishirikina na kuamini zaidi waganga wa jadi, serikali imeanza kuboresha huduma za afya nchini. Na: Elisha Magege Kufuatia kuwepo kwa maabara kwenye zahanati ya Mayuya iliyopo kata ya Tabaruka halmashauri ya…
4 July 2023, 2:51 pm
Sikiliza kipindi cha maisha ni Afya kuhusu uboreshaji wa kitengo cha mama,baba na mtoto kutoka Hospital Teule ya Wilaya ya Sengerema SDDH.
4 July 2023, 11:17 am
Kutokana na wafanyabiashara mjini Sengerema kuendesha shughuli zao pembezoni mwa barabara na kupelekea hofu ya kutokea ajali, hali hiyo imemuibua mkurugenzi wa halmashauri hiyo na kutoa siku tatu kwa wafanyabiashara hao kuondoka maeneo hayo . Na: Said Mahera Mkurugenzi Mtendaji…
3 July 2023, 12:29 pm
Kutokana na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Sengerema SEUWASA kukabiliwa na malimbikizo ya deni la umeme kiasi cha shilingi milioni mia tatu, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekata huduma ya umeme katika chanzo cha maji kilichopo Nyamazugo.…
2 May 2023, 11:40 am
Chama cha wafanyakazi Mkoani Mwanza TUCTA kimelaani vikali waajiri wanaowanyanyasa wafanyakazi sehemu za kazi ikiwemo kutowalipa stahiki zao kwa wakati. Hayo yamesemwa na katibu wa chama cha wafanyakazi mkoani mwanza Zebedayo Athuman wakati akisoma risala kwa mgeni rasmi katika maadhimisho…
3 February 2023, 3:54 pm
Mama mlezi aliyemshambulia kwa kipigo kikali mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya Msingi Bukala Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza na kumjeruhi vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake kwa madai ya kukojoa kitandani hatimaye amekamatwa na jeshi la Polisi wilayani…
16 July 2022, 3:55 pm
Waziri wa Nishati Nchini Mh,January Makamba amewahidi wananchi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza kutatua tatizo sugu la kukatika kwa umeme ili kuwaondolea adha hiyo inayowakabili kwa muda mrefu . Waziri Makamba amesema hayo wakati akizungumza na wananachi katika mkutano wa hadhara…
22 March 2022, 4:14 pm
Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya makazi Mh, Agelina Mabula amewataka watumishi wa mabaraza ya ardhi na nyumba ya Wilaya nchini kutimiza wajibu wao kwa weledi kwa kuzingatia sheria ,kanuni ,taratibu na miongozo iliyopo na itakayotolewa ili kuboresha utoaji…
14 January 2022, 10:52 am
Serikali kupitia Wizara ya Afya imepokea msaada wa dawa pamoja na vifaa tiba vyenye thamani ya Tsh: Mil. 864 vitavyosaidia katika kupambana dhidi ya magonjwa mbalimbali kutoka katika Serikali ya Misri. Msaada huo umetolewa katika uwanja wa ndege wa kimataifa…
Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema
Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa